Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wamepita shwaaa! Nyie si mnaangalia STATUS eeh endeleeni kukodolea macho STATUS.
😂😂😂😂😂Ishu sio status mzee ishu nikwanini watu wapigiwe simu na utaratibu haupo hivyo afu hizi za muce zinawahusu wengine tu humu anaehusika ni Ahmet tu lakini sisi tunahoji imekuwaje utaratibu ubadilike watu wapigiwe simu wakati wengine wanakaa kusubiri pdf kumbe watu wapo kazini kuanzia mwezi uliopita
 
Hahahaha tupeane pole tu.! Sijui hata itakuaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Inaleta ukakasi sana hii Yani mwezi ushapita ndo wanaileta leo na watu wapo kazini sasa haikuwa na haja wao kuzitangaza hizi post wangeacha chuo kitangaze chenyewe kiendeshe mambo yake tu kuliko watu wanaomba wakitumaini utumishi itasimamia na kutenda haki na protocol zote kufatwa lakini imeanza kupigiana simu
Mimi nahisi tatizo limeanzia MUCE.

Hivi kwa nini waliamua kuwapigia simu? hapa inaonesha walifanya hivi kabla hawajapeleka pdf PSRS. Na walipomaliza kuwapigia wakarelax tena bila kupeleka hiyo pdf Utumishi.

MUHAS wao walipomaliza sorting, wakaipeleka PDF fast PSRS na ikatangazwa kwa umma, hawa hawakujisumbua kupigia watu simu.

Sasa nahitimisha kuwa, MUCE ndio waliozingua maana wangepeleka PDF utumishi ingetangazwa moja kwa moja.

Kwa hili lawana zangu nazielekeza MUCE
 
Back
Top Bottom