Waitoe tu aseehBora waitoe huenda watu hawajaona kitu new placement
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waitoe tu aseehBora waitoe huenda watu hawajaona kitu new placement
IT kachanganya mafile itakua alitaka kuapload lile la WALIOITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMAWaitoe tu aseeh
😂😂😂😂alifute sasa tumemaindi analeta mambo ya ajabu watu wameahakula mshaharaa na deadline yakuripoti ishapita hizi si dhalau kabisa wanatufanyia joblessIT kachanganya mafile itakua alitaka kuapload lile la WALIOITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
Wamezingua leoWatu wamechafukwa 😂😂😂😂
😂😂😂😂Sahizi wanalaumiana ahahaha
😂😂😂😂😂Ishu sio status mzee ishu nikwanini watu wapigiwe simu na utaratibu haupo hivyo afu hizi za muce zinawahusu wengine tu humu anaehusika ni Ahmet tu lakini sisi tunahoji imekuwaje utaratibu ubadilike watu wapigiwe simu wakati wengine wanakaa kusubiri pdf kumbe watu wapo kazini kuanzia mwezi uliopitaWamepita shwaaa! Nyie si mnaangalia STATUS eeh endeleeni kukodolea macho STATUS.
Hahahaha tupeane pole tu.! Sijui hata itakuaje😂😂😂😂😂Ishu sio status mzee ishu nikwanini watu wapigiwe simu na utaratibu haupo hivyo afu hizi za muce zinawahusu wengine tu humu anaehusika ni Ahmet tu lakini sisi tunahoji imekuwaje utaratibu ubadilike watu wapigiwe simu wakati wengine wanakaa kusubiri pdf kumbe watu wapo kazini kuanzia mwezi uliopita
😂😂😂😂We baki kusubiri pdf ukute wenzio wapo kazini mzeeHahahaha tupeane pole tu.! Sijui hata itakuaje
Kwa hiyo mimi wa Mwezi huu hadi nitarajie March mwakani ndio naweza kuona PDF!?Nakumbuka nilifanya interview June nikaitwa kazini October
We hapo endelea kupambana hapo ulipo kwanza relaxKwa hiyo mimi wa Mwezi huu hadi nitarajie March mwakani ndio naweza kuona PDF!?
Kwa hiyo mimi wa Mwezi huu hadi nitarajie March mwakani ndio naweza kuona PDF!?
😂😂😂😂Asipate hata stress bado sana yaniWe hapo endelea kupambana hapo ulipo kwanza relax
Mimi nahisi tatizo limeanzia MUCE.[emoji23][emoji23][emoji23]Inaleta ukakasi sana hii Yani mwezi ushapita ndo wanaileta leo na watu wapo kazini sasa haikuwa na haja wao kuzitangaza hizi post wangeacha chuo kitangaze chenyewe kiendeshe mambo yake tu kuliko watu wanaomba wakitumaini utumishi itasimamia na kutenda haki na protocol zote kufatwa lakini imeanza kupigiana simu
Huwezi jua lakini hawa watu hawatabiriki wanaweza wakatoa wa juzi wakaacha wa mwaka Jana🤣😂😂😂😂Asipate hata stress bado sana yani
Sawa mkuuWe hapo endelea kupambana hapo ulipo kwanza relax