Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Um
Wadau, Hivi Kuna uwezekano wa kuomba internships kwenye hizi kampuni binafsi/viwanda binafsi pasipo hata wao kutangaza nafasi za internships ?

Maana huku ndo naskia kama ukipata internship ukipiga kazi fresh Kuna possibility ya kupewa ajira permanent.

Na vipi namna yake ya kuomba ni unaenda kuacha vyeti na barua pale reception au unafanyaje wakuu ?
Umesomea nini
 
Yes, Usisubiri Tangazo.

Andaa CV vzr na copy ya vyeti jitahidi kuwa na confidence nenda ktk ofisi husika (omba kuonana na Manager wa Rasilimal watu) then.. Ongea nae kwa uchache shida yako kama ni muelewa atakupa maelekezo nini cha kufata.

Usikabidhi document zako kiholela.

Fata taratibu za Registry kama itahitajika kufanya hivyo.

Kaa baada ya wiki nenda kafanye Follow up kama majibu yametoka au Laa..

Jitahid kuandika Barua ya maombi iliyojitosheleza
 
Sema kwenye viwanda kuonana na hr huwa ni ngumu sana tena sio kidogo
 
Yes, Usisubiri Tangazo.

Andaa CV vzr na copy ya vyeti jitahidi kuwa na confidence nenda ktk ofisi husika (omba kuonana na Manager wa Rasilimal watu) then.. Ongea nae kwa uchache shida yako kama ni muelewa atakupa maelekezo nini cha kufata.

Usikabidhi document zako kiholela.

Fata taratibu za Registry kama itahitajika kufanya hivyo.

Kaa baada ya wiki nenda kafanye Follow up kama majibu yametoka au Laa..

Jitahid kuandika Barua ya maombi iliyojitosheleza
Asante sana mkuu ngoja nitazurula kwenye viwanda binafsi na makampuni binafsi hapa mkoani maana najuwa purukushani sio nyingi kama dsm, chochote kitakachotokea fresh tu Cha MUHIMU kupambana.
 
Yeye aseme ana shida ya kiofisi. Asiende pale aseme anatafuta kazi etc.

Akishaonana na Hr Ndio aongee nae vzr tena Manager. Sio hawa officer's
Labda atafute detail vizuri za huyo manager labda wa sales amjue jina then akishaenda pale aseme anataka kuonana na meneja fulani wa sales nna shida nae yakiofisi labda anaweza kukubaliwa ,lakini wanakuwaga na milolongo sana kumruhusu mtu
 
Environmental scanning is obvious gud hasa hasa ukiwa na specific target.

Muonekano wa mtu na the way anavyo jitambulisha na kutembea (body language) inaweza kumpa hadhi kubwa na wala asiwekew vikwazo.

Yaan aende kama afisa sio anaenda na panki.. Nguo suruali njiwa.. Hajanyoosha shati

Kabebelea Bahasha inaonekana kabisa huyu kaweka vyeti humu (just slot your documents ktk Bag ambalo ni well presentable)

Haya wengine tumepitia before so naongea by experience
 
Back
Top Bottom