Um
Umesomea niniWadau, Hivi Kuna uwezekano wa kuomba internships kwenye hizi kampuni binafsi/viwanda binafsi pasipo hata wao kutangaza nafasi za internships ?
Maana huku ndo naskia kama ukipata internship ukipiga kazi fresh Kuna possibility ya kupewa ajira permanent.
Na vipi namna yake ya kuomba ni unaenda kuacha vyeti na barua pale reception au unafanyaje wakuu ?