Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Kaka anang'ata na kupuliza🤣Sema 6 ni nyingi sana huwezi kukosa mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka anang'ata na kupuliza🤣Sema 6 ni nyingi sana huwezi kukosa mzee
Hvi tangia campaign zimeanza na usawa ni kwamba Bado hazijafikiwa tu malengonau 🤔,tunakoelekea wanaume tutakua wachache makazini😂😂😂😂aseeh kweli mbona kama wamekuwa wengi sasa
😂😂😂😂 Wewe ni ndugu yangu kaka huwezi kukosa achana na status hahhhKaka anang'ata na kupuliza🤣
😂😂😂😂badoHvi tangia campaign zimeanza na usawa ni kwamba Bado hazijafikiwa tu malengonau 🤔,tunakoelekea wanaume tutakua wachache makazini
Mimi ni ndugu yako na wewe ndio mgawa mirija ya asali🤣🤣🤣nakosaje Sasa mrija😂😂😂😂 Wewe ni ndugu yangu kaka huwezi kukosa achana na status hahhh
Aisee washanogewa wanapitiliza mpaka targets🤣😂😂😂😂bado
😂😂😂😂Uhakika na kazi umepata kaka au Nikupe na suti yakufatia barua hahhhMi
Mimi ni ndugu yako na wewe ndio mgawa mirija ya asali🤣🤣🤣nakosaje Sasa mrija
Ngoja prok na yule wa kuambiwa abadilishe avatar waje🤣🤣🤣Aisee washanogewa wanapitiliza mpaka targets🤣
Ile ya blue hapana kaka🤣😂😂😂😂Uhakika na kazi umepata kaka au Nikupe na suti yakufatia barua hahhh
😂😂😂😂Hahhhhh prok atatufunga mzee mwanasheria yuleAisee washanogewa wanapitiliza mpaka targets🤣
😂😂😂😂Hahhhhh unaonekana kama mtungi wa gesi uleIle ya blue hapana kaka🤣
😂😂😂😂Sema yule wa avatar sijui nisake utelezi wake aseehNgoja prok na yule wa kuambiwa abadilishe avatar waje🤣🤣🤣
Siyo mbinu mzee, mkigongana marks na msichana anachukuliwa msichana.Omba Mungu wadada wasitumie mbinu zaidi na zaidi kukuovertake
Acha watu wazipambanieNaona Re-advertised post za vyuo walizokanda watu zimemwagwa kwa portal
Kiongozi mtafute sasa hv na umwambie syo jobless lazma utamkanda tuHeeee mie Kuna demu alihamiaga form two akawa anaulizaga maswali ya kiboya sana nikajua hakuna akili hapa nikamtogoza aisee ili nimdanganye najua vitu [emoji1787][emoji1787] majibu yake nikagundua anaakili sana alikua anasoma upepo yule demu alitukanda Toka form two mpaka tunamaliza shule [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kunikataa akanikataa juu
😂😂😂😂Akalipize au sio?Kiongozi mtafute sasa hv na umwambie syo jobless lazma utamkanda tu
Yeah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akalipize au sio?
Noma sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh Kuna wakati unapiga oral huku unalia