Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Heeee mie Kuna demu alihamiaga form two akawa anaulizaga maswali ya kiboya sana nikajua hakuna akili hapa nikamtogoza aisee ili nimdanganye najua vitu [emoji1787][emoji1787] majibu yake nikagundua anaakili sana alikua anasoma upepo yule demu alitukanda Toka form two mpaka tunamaliza shule [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kunikataa akanikataa juu
Kiongozi mtafute sasa hv na umwambie syo jobless lazma utamkanda tu
 
Back
Top Bottom