Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Za Tamisemi (Ualimu na afya)huwa zinatoka kwa Mkupuo haijalishi n nying au chache
Ila Hawana mchakato mrefu kama Hapo utumishi.
Tamisemi Hawafany Usaili.
Ku attach vyeti then mkeka unatoka,Unaend kazini.
Huku Utume,Uwe shortlisted,Ukafany Usaili, Wapitie matokeo na Sifa Zingine, Then Placement, Uchukue Barua N kPeleka Kwa Mwajiri. Kuna wengine Wanaend Tena kwny Mafunzo, Usubiri cheque No kutoka Hazina.Mwajiri Akujulishe Lin Unanzaa kazi,
Hapo Bado Ajira Yako Ipo Kwny Mzani Haijakamilika N Mpka uanzee kazi Na Upoke Barua ya Kudhibitishwa Kazini au Ufanye Zaidi ya miez 6.Baada ya kuonekan Unafany kazi kwa ufanisi Na kutimiza majukumu yako ukizingua Unamwaga Anaitwa wa Database.
Ndo Maan LifeSpan Ya Data Base Ni 6 Months.Hiyo sababu moja wapo.
ningesoma ualimu Mimi jamani Kwa kweli
Huenda ningekua nakula asali mie🤣
 
Basi sawa mkuu
 
Kila Mtu Na Riziki Yake Huwezi Jua.
Utapata Wapi.
Kikubwa Jobless Wakomae Nazo Zikitoka Na Uibake Haswa Hiyo Interview Couz Kuja Kupata Tena Vacancy Ya Kufanya Usaili Na Kutoboa Ni Kipengele.
Mkiona Kimya Msawacharure Sna Utumishi Maan Mambo Mengine Yapo Njee Ya Uwezo Wao.
Mambo Ni 🔥🔥🔥🔥.
 
Asante mtu wa utumishi kuja kutupa madini ya kutosha nimesoma yote na nimeelewa hatuwasemi Tena SEMA mpunguze kutukanda kidogo
 
😂😂😂😂Ningesomaga ualimu asaivi ningekuwa headmaster mamaeee
***** mie ningekua hata mbeya huko mwalimu nipo nalima na mpunga kama wote dadeki gunia kama mia 600 ndani aisee nikaenda kusoma vitu vinataka interview Sasa SEMA huyu jobless mwifa SI amesoma afya huyu au Ajira za mkupuo haombagi yeye
 
Za Tamisemi (Ualimu na afya)huwa zinatoka kwa Mkupuo haijalishi n nying au chache
Ila Hawana mchakato mrefu kama Hapo utumishi.
Tamisemi Hawafany Usaili.
Ku attach vyeti then mkeka unatoka,Unaend kazini.
Huku Utume,Uwe shortlisted,Ukafany Usaili, Wapitie matokeo na Sifa Zingine, Then Placement, Uchukue Barua N kPeleka Kwa Mwajiri. Kuna wengine Wanaend Tena kwny Mafunzo, Usubiri cheque No kutoka Hazina.Mwajiri Akujulishe Lin Unanzaa kazi,
Hapo Bado Ajira Yako Ipo Kwny Mzani Haijakamilika N Mpka uanzee kazi Na Upoke Barua ya Kudhibitishwa Kazini au Ufanye Zaidi ya miez 6.Baada ya kuonekan Unafany kazi kwa ufanisi Na kutimiza majukumu yako ukizingua Unamwaga Anaitwa wa Database.
Ndo Maan LifeSpan Ya Data Base Ni 6 Months.Hiyo sababu moja wapo.
Sasa wanataka waongeze iwe mwaka 1(data base)
 
Kila Mtu Na Riziki Yake Huwezi Jua.
Utapata Wapi.
Kikubwa Jobless Wakomae Nazo Zikitoka Na Uibake Haswa Hiyo Interview Couz Kuja Kupata Tena Vacancy Ya Kufanya Usaili Na Kutoboa Ni Kipengele.
Mkiona Kimya Msawacharure Sna Utumishi Maan Mambo Mengine Yapo Njee Ya Uwezo Wao.
Mambo Ni 🔥🔥🔥🔥.
😂😂😂😂Kwahiyo mambo ni fire ,sasa kujitahidi tu tunajitahidi nakupambana kweli kweli placement ndo inatukwamisha mzee
 
***** mie ningekua hata mbeya huko mwalimu nipo nalima na mpunga kama wote dadeki gunia kama mia 600 ndani aisee nikaenda kusoma vitu vinataka interview Sasa SEMA huyu jobless mwifa SI amesoma afya huyu au Ajira za mkupuo haombagi yeye
😂😂😂😂 Mwifwa anaombaga tu sema tatizo hana mjomba Tamisemi hahhh
 
Kila Mtu Na Riziki Yake Huwezi Jua.
Utapata Wapi.
Kikubwa Jobless Wakomae Nazo Zikitoka Na Uibake Haswa Hiyo Interview Couz Kuja Kupata Tena Vacancy Ya Kufanya Usaili Na Kutoboa Ni Kipengele.
Mkiona Kimya Msawacharure Sna Utumishi Maan Mambo Mengine Yapo Njee Ya Uwezo Wao.
Mambo Ni 🔥🔥🔥🔥.
Sema kaka hivi zile status vipi za kwenye portal na app?hazieleweki nadhani utakuwa na uelewa nazo kidogo ukipata nafasi ya kazi ile status inakuwaje
 
Ni kweli haziwez kukosa maana kabisa, yaan muda wote mtandao uwe unacheza tu, why we know whether mtu umeprogress hatua ya oral au laah kupitia status. 😇
 
Zingekuwa hazina maana basi zingekuwaga hazituoneshi kuwa umekuwa selected for oral nimesoma programming kidogo naelewa unapoprogramme system kila kitu kina maana yake aseeh hata mkato unamaana
 
😂😂😂😂Kwamba mtandao umeyumba kwako tu afu umeyumba mwezi mzima au sio😂
 
Zingekuwa hazina maana basi zingekuwaga hazituoneshi kuwa umekuwa selected for oral nimesoma programming kidogo naelewa unapoprogramme system kila kitu kina maana yake aseeh hata mkato unamaana
Ulisoma programming unakata uwe Mack utengeneze Facebook Yako umeishia kuwa jobless tu🤣
 
Back
Top Bottom