Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Aisee lazimaImagine mtu alifanya oral TTCL akabaki database Jana anajicheki Kala shavu TAA si lazima uwapende utumishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee lazimaImagine mtu alifanya oral TTCL akabaki database Jana anajicheki Kala shavu TAA si lazima uwapende utumishi
Very trueWakati wa Mungu ukifika hakuna wakuzuia baraka za mtu
Hii inatufundisha hata unapokosa kitu ulichokitarajia badala ya kuzorota kwenye maombi badala yake ni kuongezea Kasi bila kuchoka, Mungu hutenda makubwa tusiyotarajiaKabisa, ukipata kwenye mkeka wa mwanzo unashukuru ukibaki database Basi pia ongeza maombi mtu yeyote anatusua wakati wake ukifika
Usikate tamaa bro ipo siku yakoWengine hatujawahi ongia oral tunareceived kibao na not selected
Mliopo dar mkamuungishe jamaa yetuKaribuni mniungishe niko buguruni sokoni nyanya zangu na karoti vinaniangalia tu
Tusisahau kusali hata kama ni joblessHii inatufundisha hata unapokosa kitu ulichokitarajia badala ya kuzorota kwenye maombi badala yake ni kuongezea Kasi bila kuchoka, Mungu hutenda makubwa tusiyotarajia
True bro wa selected🤣Tusisahau kusali hata kama ni jobless
😂😂😂😂Hahhhhh uhakika kijana wa shortlisted na not selected kwa appTrue bro wa selected🤣
Utauza kaka, hongera sana Kwa kujiari.keep it up.Karibuni mniungishe niko buguruni sokoni nyanya zangu na karoti vinaniangalia tu
Hatareee mzee🤣😂😂😂😂Hahhhhh uhakika kijana wa shortlisted na not selected kwa app
Soon in Sha Allah endelea kuwa mvumilivu mkuu,ukiweza kuvumilia hvi huwezi kuwa fisadi🤣🤣🤣Lini mkeka wa placement utakua na majina yetu?!!!
😂😂😂😂Kuna mdau alisema tutakuwa mafisadiSoon in Sha Allah endelea kuwa mvumilivu mkuu,ukiweza kuvumilia hvi huwezi kuwa fisadi🤣🤣🤣
Mwezi ujaoLini mkeka wa placement utakua na majina yetu?!!!
Hajui mafisadi hawana alama😂😂😂😂Kuna mdau alisema tutakuwa mafisadi
HahhhhHajui mafisadi hawana alama
Hongera sana kwakeKwa mara ya kwanza nashuhudia mtu wangu wa karibu akilamba asali kutokea kanzi data.
HahahahaaImagine mtu alifanya oral TTCL akabaki database Jana anajicheki Kala shavu TAA si lazima uwapende utumishi
Jobless mlioko viunga hivyo fanyeni miujiza mwenzetu asirudi na mzigo complete nyumbaniKaribuni mniungishe niko buguruni sokoni nyanya zangu na karoti vinaniangalia tu