Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,718
Taasisi gani na oral ilikua liniShortlisted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taasisi gani na oral ilikua liniShortlisted
Oral september taasisi IAATaasisi gani na oral ilikua lini
Wakuu naona status yangu leo imebadilika imebaki plane tu hakuna neno lolote wakuu au ndo mikando
endelea kuvuta subira mkeka utatokaCheck hizi ngoma.. Toka July zimekomaa tu na Received.. PSRS tunawasubir wakuu
CHUO TEMBELEA WEBSITE YAO LABDA WAMETUPIA. ..Oral september taasisi IAA
Hawa hawawezi tupia mpaka utumishi watupie hii ni institute sio universityCHUO TEMBELEA WEBSITE YAO LABDA WAMETUPIA. ..
Makabaliano magumu sana haya kuyazingatia....😅😅😅😂Tulikubaliana status hazina maana tuachane nazo tusubiri pdf
😂😂😂😂😂😂Tulikubaliana lakini na jobless wakatukana kabisa hahhhh sasa naona kumbe bado wanaziangaliaMakabaliano magumu sana haya kuyazingatia....😅😅😅😂
😅😅😅🤣 ukweli ni kwamba huwez kupika bila kuchunguliaa chungu kinachemkaje si utaunguza😆.....mchawii PDF😂😂😂😂😂😂Tulikubaliana lakini na jobless wakatukana kabisa hahhhh sasa naona kumbe bado wanaziangalia
Institute of adult education? Wanaweza kukihesabu Kama chuo...Hawa hawawezi tupia mpaka utumishi watupie hii ni institute sio university
😂😂😂😂sawa haina shida kama pdf inapatikana bila kupitia kwenye system😅😅😅🤣 ukweli ni kwamba huwez kupika bila kuchunguliaa chungu kinachemkaje si utaunguza😆.....mchawii PDF
Huyu kaleta mpya status Kama hajawah kuapply!!!😅😅😅🤣 ukweli ni kwamba huwez kupika bila kuchunguliaa chungu kinachemkaje si utaunguza😆.....mchawii PDF
Status inapobadilikaga kutoka labda shortlisted kwenda oral huwa kwa muda fulani inakuwa plane pale kwahiyo hapo ikija kurudi inaweza kurudi vile au ikabadilika ikawa selected for oral😂Huyu kaleta mpya status Kama hajawah kuapply!!!
MKONGWEStatus inapobadilikaga kutoka labda shortlisted kwenda oral huwa kwa muda fulani inakuwa plane pale kwahiyo hapo ikija kurudi inaweza kurudi vile au ikabadilika ikawa selected for oral😂
Soma hiyo point ya mwisho nadhani mtaelewa maana ya statusStatus ya kidhunguView attachment 2418935
😂😂😂😂Kiongozi hizi nimezifatilia sana na wakati nilipokuwa nakosa nilikuwa naziona aseeh kwahiyo msije kudanganywa eti hazina maana ,zile Zina maana sema maana yake ndo hatujui ,zamani hizi status hazikuwaga zikiandika shortlisted for interview ,zilikuwaga zinaandika 1st interviewMKONGWE
Hiyo placement inaandikaje? Hamna aliyepata ajira akaandikiwa placementSoma hiyo point ya mwisho nadhani mtaelewa maana ya status