Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo tunamsubiri yule jamaa mwenye flash ya majina atupandishieWazee wa mapdf.. Leo moon mute
Ecuador aliipiga Colombia 6Kwa mpira ule hahahaha kikosi chetu Cha form 4 2013 Qatar hapati hata Kona 🤣🤣
Mafile yaliliwa na virusTupo tunamsubiri yule jamaa mwenye flash ya majina atupandishie
Ungekuwa na mjomba wako huko hata wa mchongo, ungekuwa ushanunua Subaru[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Niliomba kuvolunteer hata sikupigiwa simu huu mwaka watatu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naisubiri hapa kwenye barabara ya mwendokasiTunaendelea kusubiri treni airport!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mafile yaliliwa na virus
😂😂😂😂😂Kitambo sana wangeanza kuniita Freemason hahhhhUngekuwa na mjomba wako huko hata wa mchongo, ungekuwa ushanunua Subaru[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
We jamaa naona roho mtia moyo kakushukiaNdo ilipangwa upate hiyo maana kama siyo hivyo ingetoka mwanzo siungeikosa kama zingine kwahiyo hiyo ni yako mzee amini Mungu hakoseagi anakusubilisha ili uende alipopanga yeye
Hahaha ,,Mafile yaliliwa na virus
Mkuu umemaliza form 4 13 kama mimiKwa mpira ule hahahaha kikosi chetu Cha form 4 2013 Qatar hapati hata Kona [emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂Hutakiwi kumkatisha mtu tamaa mzeeWe jamaa naona roho mtia moyo kakushukia
Tumezisubiri sana aseeh zitoke tuPlacement zitatoka vijana zamu yetu sasa mungu mwema
Inshallah ikawe ya heri kakaAmini mambo yapo mazuri yanakuja
Kapoteza flash Jana alienda kidimbwi kaka😂😂😂Mliyokaribu na mpandisha mapdf mshitueni basi apandishe hyo placement