Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Haziendi bure! Utajenga kwa mshahara?!
Mkuuu unapiga hesabu gan wewe jamaaa hivi ukisave 400k kila mwezi Kwa mda wa miaka 6 unakosa Hela ya kujenga? Karibu 28milion ebu niambie benki gan itakupa Hela hiyo ya 28milion??? Mkuu Kwa mfanyakazi mwenye Mashahara wa 1m na point? Hakuna haipo utaulipa Kwa Miakaa mingapi mkuu? Kwa maelezo hayo ni kuwa kujenga Kwa mshahara inawezekana kuliko kujenga Kwa kukopa
 
Save utakuja kutupa mrejesho
 
Wadau Hivi hakuna mtu anayefahamu vyuo/mahala wanapotoa scholarships za masters iwe ndani au nje ya nchi kwa upande wa accounting, economics or finance related degrees?
 
Hahahaaa.

Received na Shortlist nishazimaliza.

Sasahivi ubao unasomeka Not Selected for Oral Interview.

Moja tu ambayo imenipa matumaini ilikuwa Selected for Oral Interview, ila tangu matokeo ya kuitwa Oral tarehe 4 Novemba, sijachungulia Status na nimeapa sitaiangali hadi pdf ya Asali itakapotoka
Hahaha matokeo ya trh 4 Nov yalikuwa ya oral au written?? ....usiache kuangalia status Mwifwa
 
Mkopo kama huna tegemezi achana nao tu na kama unataka ufanye biashara basi uwe na mke ndo asimamie biashara tofauti na hapo tulia save tu Baada ya miaka 5 unakuaa na kitu
Katika vitu unabidi kuviogopa ni mikopo ,save 10 % mpaka 20% ya mshahara wako. Baada ya miaka 5 mpaka 7 ,unapata kufanya malengo yako...Narudia tena kukopa sherehe, kulipa ni matanga.
 
Kweli mie ni jobless ila najua kuwa kukopa ni hatari sana mie mkopo sitaki nitasave Kwa miaka 6 mkuuu
Yes,kuzipokea raha sana Hela. za mkopo, kurudisha sasa! Ila Kuna hatua fulani Ili ufikie mikopo haikwepeki, hasa Wana wenye dream ya kuwa billionaire kama mimi.Ukitaka kukopa unabidi ujiulize swali hili .Endapo nitashindwa rejesha Kwa njia niliyo kusudia, back up (plan b) ya kurudisha mkopo ninayo?
 
Back
Top Bottom