Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Kijana wa hovyoo ulikua wapi Leo tumekusubiri sana hapa,wenzio wote wamekuja kureport baada ya pepa😂😂😂😂Asaivi naona hata kirikuu inatosha Kaka subaru tutanunua tukistaafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana wa hovyoo ulikua wapi Leo tumekusubiri sana hapa,wenzio wote wamekuja kureport baada ya pepa😂😂😂😂Asaivi naona hata kirikuu inatosha Kaka subaru tutanunua tukistaafu
Kijana wa hovyoo ulikua wapi Leo tumekusubiri sana hapa,wenzio wote wamekuja kureport baada ya pepa
Nilichokutana nacho leo nikaona nikajipoze bambalaga😂😂😂😂Kijana wa hovyoo ulikua wapi Leo tumekusubiri sana hapa,wenzio wote wamekuja kureport baada ya pepa
Toa habari ya uzushi iposti humu utaona inavyokanushwa fastaKama wapo humu sasa
Duuuhh, pole sana mkuu, utatoboaPaper nimepiga Mbili sema naona kama zote nimepigwa za Uso.
ila matokeowaesema kesho
Aisee, pole sana mkuu, matokeo yatasema ukweliPepa kwangu imekuwa ya Ovyoh tu mkuu. Hapa najiliwaza na game ya Yanga Huku CBSL. Kuna jirani yangu ye ndo kaanza kulalamika mlemle ndani kabla hatujatoka ety maswali mawili hajafanya.. sijui akinizuga Mimi tu dadeq [emoji851][emoji851]
Matokeo lini, na oral lini?Ndani ya Bm muda huu narudi dar, Mkando ndoige!
Written yangu ya mwisho tulikaguliwa na kile kifaa cha kudetect elecronic devices, hawana utani kabisaKumbe Wakandaji hawaruhusu mtu kuvaa saa ndani ya chumba Cha mtihani.. nimeona Leo watu wanavulishwa, hawataki longolongo kabisa[emoji16][emoji16]
Smart watch zimeshtukiwa[emoji3][emoji3][emoji3]Ndio hakuna Cha saaa mkuu Kuna watu Wana google Kwa saaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah saivi wanazidi kuwa serious about this,Written yangu ya mwisho tulikaguliwa na kile kifaa cha kudetect elecronic devices, hawana utani kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha nicheke kwanza aseeh utumishi ni wachawi mamaeeee
Acha niishie hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asaivi naona hata kirikuu inatosha Kaka subaru tutanunua tukistaafu
Shortlisted yako itakuletea Subaru😂😂😂😂Asaivi naona hata kirikuu inatosha Kaka subaru tutanunua tukistaafu
😂😂😂😂Hiyo uhakikaShortlisted yako itakuletea Subaru
😂😂😂😂😂Kaka nimekutana na hiyo Pepa acha kabisa nadhani watakaofaulu wale waliofanya Pepa ya must mwezi uliopita maana wamekopi huko kwahiyo mzee huko ndani ilikuwa balaa mpaka nikajiuliza au mshahara ni mkubwa sana nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nini kimetokea mkuu jobless, ebu tuambie tushirikiane tufurahia au kuhuzunika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nini kimetokea mkuu jobless, ebu tuambie tushirikiane tufurahia au kuhuzunika
Aisee, tusubiri zari lolote laweza tokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka nimekutana na hiyo Pepa acha kabisa nadhani watakaofaulu wale waliofanya Pepa ya must mwezi uliopita maana wamekopi huko kwahiyo mzee huko ndani ilikuwa balaa mpaka nikajiuliza au mshahara ni mkubwa sana nini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
In God we trust bro ...japo mambo ni mengi muda mchache[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka nimekutana na hiyo Pepa acha kabisa nadhani watakaofaulu wale waliofanya Pepa ya must mwezi uliopita maana wamekopi huko kwahiyo mzee huko ndani ilikuwa balaa mpaka nikajiuliza au mshahara ni mkubwa sana nini
Mpaka Jana kilikuwepoWritten yangu ya mwisho tulikaguliwa na kile kifaa cha kudetect elecronic devices, hawana utani kabisa