Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,718
Kubwa hilo mkuuKweli kiongozi tusubiri placement aseeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubwa hilo mkuuKweli kiongozi tusubiri placement aseeh
Hawajakuandikia sababu kwenye profile?Sijajua naona wameita watu 4 tu na nafasi zilikua 5
Ulifika oral kwanza? tuanzie hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh mkajua nimepigiwa simu au?
Umeitwa Lab techinician au Inspector?Wale wa TMDA jamani tupeane lonja au kama kuna mtu ako na Abc’s
Mimi naendaga na 25 hata kama mashine yao wameiseti 26, huwa nawakazia hadi wananipa tiketi kwa 25.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kabisa aseeh yani nilibaki na elfu 28 afu nauli elfu26 nikanunua soda ikabaki buku ya daladala mzee
Umeitwa Lab techinician au Inspector?
Hahaha ,,hyo inaitwa tukutane Dec.
Hahaha ,,hyo inaitwa tukutane DecY
yan leo nimeota placement inatoka haijalishi muda ganHahaha ,,hyo inaitwa tukutane Dec.
kitambo mbon naelew kuwa hili swala limeongolew pia si ndivyo unavyotak kusemaBro ndo unajiunga leo humu?
Yah maana mikeka imetoka toka jana na watu wana taarifa humu naona unauliza tenakitambo mbon naelew kuwa hili swala limeongolew pia si ndivyo unavyotak kusema
Au labda sjakuelewaYah maana mikeka imetoka toka jana na watu wana taarifa humu naona unauliza tena
yes nahs hujanielewa pia nikizungumzia specifically watu wa naot kuw status now imechange kutoka call for interview kwenda shortlistedA
Au labda sjakuelewa
yes nahs hujanielewa pia nikizungumzia specifically watu wa naot kuw status now imechange kutoka call for interview kwenda shortlisted
[/QUOTE
Hziko sawaMbali ya mchakato wa ajira na vetting kuchukua muda Utumishi wanakatwa na Mandonga hakuna namna yoyote wanaweza justify kuchelewesha placements kwa zaidi ya miezi 🚮🚮
Hongera ni dalili njema hiyoMbali ya mchakato wa ajira na vetting kuchukua muda Utumishi wanakatwa na Mandonga hakuna namna yoyote wanaweza justify kuchelewesha placements kwa zaidi ya miezi 🚮🚮
Ni ujinga tu broMi naona kama bajet za serkali kuajir watumishi wapya
Hziko sawa