Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kabisa aseeh yani nilibaki na elfu 28 afu nauli elfu26 nikanunua soda ikabaki buku ya daladala mzee
Mimi naendaga na 25 hata kama mashine yao wameiseti 26, huwa nawakazia hadi wananipa tiketi kwa 25.

Kina siku niliwaambia, hata majia hamtupi tunakaa hadi koo linakauka halafu mnataka nauli kubwa, nikaongezea nikasema, ABC tunaenda na 25 tunapewa maji na pipi za kulainisha koo..

Ilikuwa Dolphin hapo, mbona nilipewa tiketi bila kunijibu chochote maneno yangu.
 
Tuesday For placement

1669722647153.gif
 
Back
Top Bottom