Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wazee niko mbezi naenda dom interview tuombeane
20221202_195527.jpg
 
Ila mnanipa moyo hatari 🤣🤣
Mie na wewe tunaenda sawa ikienda shortlisted Yako jua na yangu imeenda huko ikija selected for oral jua na yangu IPO hivyo tuandae tu suti pdf tayari wakishakuweka kwenye pdf status Ina soma selected for oral
 
Back
Top Bottom