Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie na wewe tunaenda sawa ikienda shortlisted Yako jua na yangu imeenda huko ikija selected for oral jua na yangu IPO hivyo tuandae tu suti pdf tayari wakishakuweka kwenye pdf status Ina soma selected for oralIla mnanipa moyo hatari 🤣🤣
Umepata gari?Wazee niko mbezi naenda dom interview tuombeaneView attachment 2433729
Kila la heriWazee niko mbezi naenda dom interview tuombeaneView attachment 2433729
Ghana na Uruguay wamekandwa na world cupYaani Leo Kuna harufu ya placement, baada ya mechi ya Ghana na Uruguay, naona IT wa utumishi akiwasha computer yake na kuchukua flash kutoka mfukoni kwakwe, acha tuone😂😂
Mkuu umepanda zile Costa za kukodi au umepata private.Wazee niko mbezi naenda dom interview tuombeaneView attachment 2433729
Yaani Ghana wameshindwa kushambulia kwa kuforce, wameboa sanaGhana na Uruguay wamekandwa na world cup
Wamezingua sana 🤣Yaani Ghana wameshindwa kushambulia kwa kuforce, wameboa sana
Wizy kwako ipoje
Hata sitaki kuangaliaWizy kwako ipoje
Mimi pia umebadilikaJamani kwangu imebadilika kutoka shortlisted hadi selected for oral.. jamani sio mkando huu[emoji32][emoji32]
Kesho atatoaYaani Leo Kuna harufu ya placement, baada ya mechi ya Ghana na Uruguay, naona IT wa utumishi akiwasha computer yake na kuchukua flash kutoka mfukoni kwakwe, acha tuone😂😂
😂😂😂😂Kaka sijacheki naogopa kukuta not selectedNaya wizy imebadilika bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo maana Kawa mpolee[emoji1787][emoji1787]
Ghana leo wamepoa kama , mabadiliko ya status [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yaani Ghana wameshindwa kushambulia kwa kuforce, wameboa sana
Baba jeni bye bye😂😂😂
DaahGhana leo wamepoa kama , mabadiliko ya status [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wazungu wepesi waleWamezingua sana 🤣