Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Jana wadau walitoa muongozo mkuu Rudi juu kidogo utakutana nao,ila kiufupi ujiandae utapewa muda wa kuandaa topic of your choice then utapata muda wa kuifundisha na utaulizwa maswaliOya wadau Hivi kwenye usaili wa hizi tutorial assistant maswali yake yanakuwaga vipi ?
Namaanisha yale ya oral interview maana naona watu wanaitwa direct mpaka kwenye oral yaani hakuna written so kama kuna mwenye experience ya oral interview za tutorial assistant afunguke Ili watu wajue pa kuanzia.