Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Oya wadau Hivi kwenye usaili wa hizi tutorial assistant maswali yake yanakuwaga vipi ?

Namaanisha yale ya oral interview maana naona watu wanaitwa direct mpaka kwenye oral yaani hakuna written so kama kuna mwenye experience ya oral interview za tutorial assistant afunguke Ili watu wajue pa kuanzia.
Jana wadau walitoa muongozo mkuu Rudi juu kidogo utakutana nao,ila kiufupi ujiandae utapewa muda wa kuandaa topic of your choice then utapata muda wa kuifundisha na utaulizwa maswali
 
Back
Top Bottom