Usivunjike moyo kiongozii
imagine una 59 -wenyewe wanachukua kuanzia 60 instead of 50 wakuu.utumish huruma hawana but always next time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usivunjike moyo kiongozii
imagine una 59 -wenyewe wanachukua kuanzia 60 instead of 50 wakuu.utumish huruma hawana but always next time
Mkuu wizy nakushukuru sana mbinu yako ya kusoma pale kwenye Duties ilinipa maswali 2 ya uhakika. Swali je kweny Oral nikomae hivyo hivyo au??Waliofanya ASA jumapili Majibu washatupia kweny Akaunti tayarii angalieni.
pamoja manUsivunjike moyo kiongozi
post yako ni technical au zile za kwenda kwenye fields??Mkuu wizy nakushukuru sana mbinu yako ya kusoma pale kwenye Duties ilinipa maswali 2 ya uhakika. Swali je kweny Oral nikomae hivyo hivyo au??
Njia ya kwanza ili ufaulu zijazo ,hakikisha unajifanyia masahihisho ujue ulipokosea afu pafanyie kazipamoja man
Mie kuna dogo pia kakandwa hii mata ya pili, ya kwanza alipata 45 hii ya ASA amepata 53 ....wakati cut off ya wakandaji ni 57. Nimemwambia asikate tamaaNamimi mdogo wangu wamemnyoosha kwa mara nyingine tena. Kwa sasa ameshafanya saili tatu mfululizo na zote hana chake.
Ngoja tusubiri zinazokuja.
Shida inaweza kuwa jinsi anavyojibu maswali au anaweza kuwa alilielewa swali vibaya
Kwamfano unaweza ulizwa
Describe land forms of geomophic process
Au Describe features due to geomophic process
Hayo maswali ukiyaangalia ni kama yanafanana lakini yapo tofauti kwahiyo kwenye zile pepa ukiyumba kulielewa swali yani ujue marks 25 zote hazipo tena
Hizi paper mara nyingi zinahitaji mambo makuu kama matano.
1. Kuelewa maswali
2. Kuandika kwa kifupi, usiweke mambo mengi sana.
3. Speed ya kuandika iwe kubwa, maana dakika 40 ni chache sana ukishaingia mule. Andika kwa speed ya jet. Watu huwa hawamalizi maswali kwa kuandika polepole.
4. Maandalizi kabla ya paper. Jiandae na usome vizuri.
5. Kama unaamini ktk Mungu, omba.
Matokeo yanakuja mabaya kwamba huwa anatapata marks ngapi au pengine hajawahi kufikisha marks ngapi
nimekosa mkuu nisameheMkuu, si nilishakukataza hii habari ya kuona ona watu!?
Wanahitajika watu wangapi kwenye hiyo nafasii
imagine una 59 -wenyewe wanachukua kuanzia 60 instead of 50 wakuu.utumish huruma hawana but always next time
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuwa na faraja sana, nilikuwa na vikao na maafisa wa Utumishi leo, ikiwezekana hizi saili usifanye sio Written wala Oral, nataka jina lako lionekane moja kwa moja kwenye pdf ya placement.
Sure,waweke for future referenceWaliofanya ASA account na internal auditor maswali yapi yalitoka?,msaada please
Aisee tuwaombee wadogo zetu na majobless wote wapate mrija wa asali...mimi mdogo wangu tangu 2019 anafanyaga interview ila ndio hivyo bahati haiwi upande wake ....namuonea huruma na kama familia tunamsapot ....ngoja tusubiri maana juzi kati kafanya interview hizi za LGA NA MDA kama auditor amefanya oral na nilikuja kumuulizia hints humu za kujibu oral nashukuru wadau walinijibu nikampa nondo hope this time mambo yatakuwa mazuri upande wake ...nitaleta mrejesho
nitamwambia aangalie anayoamini ana uhakika zaidi.
.
i
imagine una 59 -wenyewe wanachukua kuanzia 60 instead of 50 wakuu.utumish huruma hawana but always next time
Hongera mkuu pambana Sasa hatua inayofataasanteni kwakunipa moyo,nimeingia oral
Umekanda au umekandwa?nimekosa mkuu nisamehe