Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Subirini pdf

Hahahaha! Kaka, hii komenti yako ina mawili, moja ni inawezekana kwa sasa unapata uvivu sana kuingia kwenye uzi wa majobless ndio maana unaweka majibu mafupi fupi, au mbili ni kwa sasa unaongea kwa mamlaka sana kama miongoni mwa watu kutoka Serikalini na Utumishi (Utani kidogo Mkuu, huku tukiendelea kufarijiana).
 
Back
Top Bottom