Yes maana wengi pale kwanza washazeeka waache watu wachukue vitengo😂😂😂😂😂Uhaba wa wafnykz wa afya bado ni mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes maana wengi pale kwanza washazeeka waache watu wachukue vitengo😂😂😂😂😂Uhaba wa wafnykz wa afya bado ni mkubwa
😬😬😬 Jobless unabaki kusubiri mchongo usio na uhakikaAcha tu bro na ule msemo wa mwenye shibe....unatuadhibu jobless
Zimwi la ajira nchi hii linatutesa sana vjana nikiangalia idadi ya ajira zinaztok na watu walio mtaan unachoka kbsa😬😬😬 Jobless unabaki kusubiri mchongo usio na uhakika
Mtaani watu wamejaa sanaZimwi la ajira nchi hii linatutesa sana vjana nikiangalia idadi ya ajira zinaztok na watu walio mtaan unachoka kbsa
Ifike muda mfumo wa ajira huu wa kudumu upigwe chini watu wafnye kazi kwa mikataba wenye sifa wafaidi matunda ya nchiMtaani watu wamejaa sana
Zibakie baadh ya post muhimu ndo ziwe za kudumu nyingine piga contract tuIfike muda mfumo wa ajira huu wa kudumu upigwe chini watu wafnye kazi kwa mikataba wenye sifa wafaidi matunda ya nchi
Tatizo hakuna feedbackMambo ya serikali aseeh mpka mtu unachoka
jaribu kuulizia uliofanya nao oralTatizo hakuna feedback
feedback hawatoagi hata wakisimamisha kibaliTatizo hakuna feedback
Hakuna namna ila kusbria t hakunaga feedbckfeedback hawatoagi hata wakisimamisha kibali
Baada ya status kubadilika juzi nikajua bado iko active!!!!feedback hawatoagi hata wakisimamisha kibali
Tuendelee kusubiri zijazo kiongozi hii haikuwa bahati yetu kakaDaah wizy mwanangu nmeangalia bhana ...haijawa bahati yangu imekuwa ya wenzangu ,.. hivyo najipanga na zingine,,, hatuwezi jua suala la kanzidata,, .. .. ,[emoji120][emoji120][emoji120] next time itakuwa yangu
itatoka kuwa na subira kaka ,chamuhimu bado tupo haiBaada ya status kubadilika juzi nikajua bado iko active!!!!
Kanzi data itakubeba, aminiTuendelee kusubiri zijazo kiongozi hii haikuwa bahati yetu kaka
Subirini pdf
Ukiona pdf ina vumbi ujue inanihusuitatoka kuwa na subira kaka ,chamuhimu bado tupo hai
Tuassume huu mwaka hauwezi kupinduka kabla jambo halijatokeaJkci uhitaji ni mkubwa sijajua orci kama wanauhitaji huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera mkuupdf limemwagwaa hukooo daah kumekuchaa dadekiii mambo yameanzaa upyaaaaa