Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Asante sana Prok nilitoa ahadi yangu kwako siku nikitoboa nitafika mjinj PM tuyajenge
Kumekucha huku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kaziiendelee... Ukiwa kwenye mrija kuna kanguvu unakapata[emoji1787][emoji1787] I wishes nione jina langu siku1 kwenye pdf. Iwishes i wishes sanasana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Acha t kk tunatamani sana 1 day tuone majina yetu pdf tuendlee kuomba mung na kupambana
 
Wakuu habari za Asubuhi.
Poleni na majukumu ya ujobless.

Naomba kuuliza kama kuna tatizo kwenye mpangilio huu wa majina kwenye vyeti vyangu.

Cheti cha O-Level na A- level, jina la kati imeandikwa herufi tuu.
Mfano

Genuine A George

Huku cheti cha kuzaliwa na cheti cha Chuo
Wameandika

Genuine Alive George.

Naombeni nijue kama itahitaji niende mahakamani au viko sawa havina shida.
 
Vyangu viko kama wewe,ila sijawahi kuzuiwa kufanya usahili.
 
Alhamdulillaah finally Jobless mzoefu amepata mrija wa asali.

Guys since 2017 napambana na mishe za kuunga unga and finally nimeingia kwenye system inayoeleweka.

Sio rahisi kua Jobless na katika kitu kigumu latika maisha ya mtu ni kukosa kazi maalumu especially kwa mwanaume. Mungu ni wetu sote wakati wa Mungu ni wakati sahihi muda utafika but never give up nishalamba mchanga interview nyingi sana. Mungu ni mwema.
Hongera sana,Mungu akutangulie,akupe hekima katk mafanikio yako mapya.
 
Ametudissapoint sana, placement yao hatujapata mrejesho wowote, wizy alikuwa tumaini la mrejesho ila ndio ikawa hivyo, haijulikani kilichomkuta na wengine waliopata mrija huenda hawapo humu.

Huwa tunafarijika sana tukipata mrejesho maana inatupa moyo wa subira na kupambana zaidi.
Hakuna mwenye namba yake?
 
Wakuu habari za Asubuhi.
Poleni na majukumu ya ujobless.

Naomba kuuliza kama kuna tatizo kwenye mpangilio huu wa majina kwenye vyeti vyangu.

Cheti cha O-Level na A- level, jina la kati imeandikwa herufi tuu.
Mfano

Genuine A George

Huku cheti cha kuzaliwa na cheti cha Chuo
Wameandika

Genuine Alive George.

Naombeni nijue kama itahitaji niende mahakamani au viko sawa havina shida.
Kwanza, ilikuwaje cheti cha chuo kikawa na majina tofauti na vyeti vya shule? maana Admission ya chuo tunatumia vyeti vya shule hasa form 4 ambapo cha Six nacho kinafuata majina ya Form 4.

Suluhisho:

Nenda mahakamani/kwa mwanasheria kaandikiwe kiapo cha kuelezea huo mkanganyiko
 
Back
Top Bottom