Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Dunia inamshabikia Messi, yeye ni miongoni[emoji3][emoji3]Kama anaye upload PDF n shabiki wa Messi [emoji28][emoji28][emoji28]
tutegemee makubwa leo au keshoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia inamshabikia Messi, yeye ni miongoni[emoji3][emoji3]Kama anaye upload PDF n shabiki wa Messi [emoji28][emoji28][emoji28]
tutegemee makubwa leo au keshoo
Ufaulu wa Oral ni alama 50 kwa kada za kawaida. Alama 70 kwa kada za Ukufunzi(Tutor, TA n.k)Mkuu Mwifwa naomba utuwekee hapa mchanganuo wa marks za maswali ya Oral.. maana Huwa yanakuwa matano, nataka kufahamu kama yanafanana alama au vp..? maana utakuta Kuna swali unaulizwa wanataka points 5, lingine wanataka 3 na lingine unaweza kuulizwa definition au explain kitu Fulani.
Pia Jumla ya marks za Oral zinakuwa ngapi..?
We unapitiatia sana miongozo Yao bila shaka utanitoa tongotongo hapa.
Sahihi mkuu, ingawa unaweza kubahatisha swali ndani ya job descriptions lakini haliulizwi openly.Nimejifunza kitu job descriptions kwenye mtihani ya written haina msaada sana mimi naona Experience ya kuuzulia saili nyingi na bahati ndio inaweza kukubeba , Job descriptions inakupa mwanga kwenye oral.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Nimebahatika kuhudhiria saili kadhaa msaada wa job description umekuwa mdogo sana, hapa naungana nawew ndugu yangu. Sasahiv hawa jamaa wanataka uelewe vzr kada husika, madesa in deep, na ujue hiyo kazi inafanyikaje lkn pia uwe na speed ya kuandika, uelewa wa swali na usahihi wake. Nilichojifunza psrs hawanaga ugenius ukiupeleka ugenius wa kishule unaweza usitoboe kwasababu, Mtu aliefanya saili nyingi za aina hiyo anafaida yake, lkn pia mtu anaefanya kazi hiyo anafaida yake na aliesoma madesa pia lkn kuna bahati na kujua, unaweza ukajibu vzr mpk ukaongeza karatasi lkn yakija matokeo una56 wao wamechukua kuanzia 60. Au uko below kbs ya 50. Naongea haya from my last week experience kuna usaili mmoja tulifanya na ule usaili ulihusu coz moja tu ambayo ni yakwetu tu , kwahiyo sura nyingi zilizokuwepo pale zikawa sio mpya kbs mbaya zaidi vipanga walikuwa wengi sana watu wenye Gpa zao mjini kipindi hicho tunasoma mtu mpk unajiuliza nitatoboa kweli mbona hawa jamaa wote wako vzr na nawajua since chuo[emoji848][emoji848][emoji848] na wamejipanga kwaajir hiyo tu wako very smart na mbaya zaidi unakuta wengine wako na degree nyingine yaani masters wanasoma, lkn me nikutoe hofu ndugu yangu ukikuta mmeitwa usaili na ukakutanishwa na vipanga wa style hiyo usiogope nenda kila mtu anabahati yake na saili zao hazinaga ujuaji too much, wanaotoboa ni watu wa kawaida na oral ile nakumbuka tulikuwa watu wa kawaida sana, Kwahiyo kikubwa ni uthubutu Mungu ametupangia mazuri mengi sana tusiache kuthubutu kadri tunavyoweza. Naamini ukijiandaa vizuri haswa katika baraka za muumba unatoboa kbs, Hapa nazungumzia Written tu.Nimejifunza kitu job descriptions kwenye mtihani ya written haina msaada sana mimi naona Experience ya kuuzulia saili nyingi na bahati ndio inaweza kukubeba , Job descriptions inakupa mwanga kwenye oral.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Swali la kwanza si kujitambulisha, so hata hamna points mkuu,, na mara nyingi wanataka briefly then unacheza..!!Ufaulu wa Oral ni alama 50 kwa kada za kawaida. Alama 70 kwa kada za Ukufunzi(Tutor, TA n.k)
Jinsi jumla ya hizo alama zinavyopatikana ndio sijajua maana mara nyingi maswali ya Oral ni 5 yenye point tano tano( swali la 1 pia tuasume lina point 5)
Labda niwaze namna hii.
Kila point inakuwa na marks 4.
Maswali 5 yana jumla ya point 25, kwa hiyo 25 x 4 = 100.
NB: Hapo nimetumia hisabati ya darasa la nne[emoji3].
Subiri Matokeo yatoke usianze Kusema kuwa umekanda Hali ya kuwa tokeo hujapata/hujalionaTumekandwa jana huko TRA hatari sasa tunasbria matokeo
Hamna niliposema nimekanda mkuu labda umesoma vbyaSubiri Matokeo yatoke usianze Kusema kuwa umekanda Hali ya kuwa tokeo hujapata/hujaliona
Umekoseaa Sana kusema umekandwa wkt tokea ujalipataHamna niliposema nimekanda mkuu labda umesoma vbya
May be kwa watu computers, udaktari na mambo ya afya. Hizi za social science job descripition labda utakutana nazo job, ukisema ikuongoze ktk paper, salaaale.Nimejifunza kitu job descriptions kwenye mtihani ya written haina msaada sana mimi naona Experience ya kuuzulia saili nyingi na bahati ndio inaweza kukubeba , Job descriptions inakupa mwanga kwenye oral.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Matokeo ya psrs huwa wakati mwingine hayatabiriki haswa ikiwa umejibu maswali kuhusu usahihi waachie wenyewe. Huwezi jua nn kitatokea usijitabirie kukandwa ndugu yangu. Inaumaga mno, jipe moyo na unassume you did to your best lets the nature decide.Hamna niliposema nimekanda mkuu labda umesoma vbya
Nilikuwa namaanisha kukandwa hukohuko sema nilisahau w.. I meant that usubirie Matokeo sio Kusema umekandwaHamna niliposema nimekanda mkuu labda umesoma vbya
Jobless mwandiko huu sio wako, aliyeuchapa kasahau paragraph kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]Nimebahatika kuhudhiria saili kadhaa msaada wa job description umekuwa mdogo sana, hapa naungana nawew ndugu yangu. Sasahiv hawa jamaa wanataka uelewe vzr kada husika, madesa in deep, na ujue hiyo kazi inafanyikaje lkn pia uwe na speed ya kuandika, uelewa wa swali na usahihi wake. Nilichojifunza psrs hawanaga ugenius ukiupeleka ugenius wa kishule unaweza usitoboe kwasababu, Mtu aliefanya saili nyingi za aina hiyo anafaida yake, lkn pia mtu anaefanya kazi hiyo anafaida yake na aliesoma madesa pia lkn kuna bahati na kujua, unaweza ukajibu vzr mpk ukaongeza karatasi lkn yakija matokeo una56 wao wamechukua kuanzia 60. Au uko below kbs ya 50. Naongea haya from my last week experience kuna usaili mmoja tulifanya na ule usaili ulihusu coz moja tu ambayo ni yakwetu tu , kwahiyo sura nyingi zilizokuwepo pale zikawa sio mpya kbs mbaya zaidi vipanga walikuwa wengi sana watu wenye Gpa zao mjini kipindi hicho tunasoma mtu mpk unajiuliza nitatoboa kweli mbona hawa jamaa wote wako vzr na nawajua since chuo[emoji848][emoji848][emoji848] na wamejipanga kwaajir hiyo tu wako very smart na mbaya zaidi unakuta wengine wako na degree nyingine yaani masters wanasoma, lkn me nikutoe hofu ndugu yangu ukikuta mmeitwa usaili na ukakutanishwa na vipanga wa style hiyo usiogope nenda kila mtu anabahati yake na saili zao hazinaga ujuaji too much, wanaotoboa ni watu wa kawaida na oral ile nakumbuka tulikuwa watu wa kawaida sana, Kwahiyo kikubwa ni uthubutu Mungu ametupangia mazuri mengi sana tusiache kuthubutu kadri tunavyoweza. Naamini ukijiandaa vizuri haswa katika baraka za muumba unatoboa kbs, Hapa nazungumzia Written tu.
Lakin pia kunacwatubwashafanya saili nyingi sana ukienda usailo jichanganye msikae nyinyi tu mliosoma SAUT pekee yenu, jichanganye na wenye uzoefu na wenye madini mbalimbali ikiwezekana badilishen contact hiyo itakusaidia wewe kupata update za saili na uzoefu lkn pia ikitokea wewe au yeye kapata ushajenga connection na watoto wako bdae wasiangaike sana kutafuta field(natania[emoji3]) Lkn pia kubwa zaidi utajifunza namna alivyojibu mpk akafaulu kwa kiwango hicho. Pia unaweza pata shemeji kunakuwaga na pisikali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mpk unajiuliza si wanipe tu hii kazi na huyu mdada wa tanga niondoke[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]natania tu.
Lkn kubwa ndio hilo lingine ukiaply anza kujiandaa najua ni ngumu lkn jitahidi walau siku2vau siku isipite bila ya kupitia hayo madesa, hii itakusaidia sana siku zikikaribia unakuwa huna mzigo mkubwa sana, ukiuzima moto ni nadra sana labda uwe na bahati. Kuna ngumi inaitwa PERESUPERESU YA ORAL[emoji3][emoji3][emoji3] ukipita written kwa bahati au kugelezea bila kujua kada husika vzr.(natania[emoji3])
Lkn pia tusikate tamaa hata iweje tuendelee kumuomba mungu afungue milango ya ridhiki zetu kotekote gvt na private hatuwezi jua wapi tutatua km jiwe gizani likitupwa.
Ndio maana nimesema tuasumeSwali la kwanza si kujitambulisha, so hata hamna points mkuu,, na mara nyingi wanataka briefly then unacheza..!!
Poleni sana, subiri sasa miujiza ya MuumbaTumekandwa jana huko TRA hatari sasa tunasbria matokeo
huyu ni wewe kwel,hapa kichwa kimetuliaNimebahatika kuhudhiria saili kadhaa msaada wa job description umekuwa mdogo sana, hapa naungana nawew ndugu yangu. Sasahiv hawa jamaa wanataka uelewe vzr kada husika, madesa in deep, na ujue hiyo kazi inafanyikaje lkn pia uwe na speed ya kuandika, uelewa wa swali na usahihi wake. Nilichojifunza psrs hawanaga ugenius ukiupeleka ugenius wa kishule unaweza usitoboe kwasababu, Mtu aliefanya saili nyingi za aina hiyo anafaida yake, lkn pia mtu anaefanya kazi hiyo anafaida yake na aliesoma madesa pia lkn kuna bahati na kujua, unaweza ukajibu vzr mpk ukaongeza karatasi lkn yakija matokeo una56 wao wamechukua kuanzia 60. Au uko below kbs ya 50. Naongea haya from my last week experience kuna usaili mmoja tulifanya na ule usaili ulihusu coz moja tu ambayo ni yakwetu tu , kwahiyo sura nyingi zilizokuwepo pale zikawa sio mpya kbs mbaya zaidi vipanga walikuwa wengi sana watu wenye Gpa zao mjini kipindi hicho tunasoma mtu mpk unajiuliza nitatoboa kweli mbona hawa jamaa wote wako vzr na nawajua since chuo[emoji848][emoji848][emoji848] na wamejipanga kwaajir hiyo tu wako very smart na mbaya zaidi unakuta wengine wako na degree nyingine yaani masters wanasoma, lkn me nikutoe hofu ndugu yangu ukikuta mmeitwa usaili na ukakutanishwa na vipanga wa style hiyo usiogope nenda kila mtu anabahati yake na saili zao hazinaga ujuaji too much, wanaotoboa ni watu wa kawaida na oral ile nakumbuka tulikuwa watu wa kawaida sana, Kwahiyo kikubwa ni uthubutu Mungu ametupangia mazuri mengi sana tusiache kuthubutu kadri tunavyoweza. Naamini ukijiandaa vizuri haswa katika baraka za muumba unatoboa kbs, Hapa nazungumzia Written tu.
Lakin pia kunacwatubwashafanya saili nyingi sana ukienda usailo jichanganye msikae nyinyi tu mliosoma SAUT pekee yenu, jichanganye na wenye uzoefu na wenye madini mbalimbali ikiwezekana badilishen contact hiyo itakusaidia wewe kupata update za saili na uzoefu lkn pia ikitokea wewe au yeye kapata ushajenga connection na watoto wako bdae wasiangaike sana kutafuta field(natania[emoji3]) Lkn pia kubwa zaidi utajifunza namna alivyojibu mpk akafaulu kwa kiwango hicho. Pia unaweza pata shemeji kunakuwaga na pisikali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mpk unajiuliza si wanipe tu hii kazi na huyu mdada wa tanga niondoke[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]natania tu.
Lkn kubwa ndio hilo lingine ukiaply anza kujiandaa najua ni ngumu lkn jitahidi walau siku2vau siku isipite bila ya kupitia hayo madesa, hii itakusaidia sana siku zikikaribia unakuwa huna mzigo mkubwa sana, ukiuzima moto ni nadra sana labda uwe na bahati. Kuna ngumi inaitwa PERESUPERESU YA ORAL[emoji3][emoji3][emoji3] ukipita written kwa bahati au kugelezea bila kujua kada husika vzr.(natania[emoji3])
Lkn pia tusikate tamaa hata iweje tuendelee kumuomba mungu afungue milango ya ridhiki zetu kotekote gvt na private hatuwezi jua wapi tutatua km jiwe gizani likitupwa.
Kwanini lisiwe na point ikiwa ni swali limeulizwa na mmoja wa "pannelist"?Swali la kwanza si kujitambulisha, so hata hamna points mkuu,, na mara nyingi wanataka briefly then unacheza..!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakati nakunywa chai kuna jamaabl yangu amechukua simu na ilikuwa open JFJobless mwandiko huu sio wako, aliyeuchapa kasahau paragraph kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeusoma bila kituo nimetokwa jasho utafikiri nakandwa kwenye oral[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwaniaba ya.....Nawasilishahuyu ni wewe kwel,hapa kichwa kimetulia