baraka mas
Senior Member
- Dec 3, 2022
- 139
- 471
Mi nahisi hadi mwezi wa 1 yaani mwakani 2023Mwaka uishe bila placement kweli jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nahisi hadi mwezi wa 1 yaani mwakani 2023Mwaka uishe bila placement kweli jamani
Sikukuu na kuna Pepa za Tra za kusahihisha? Au zinasahihishwa na wanafunzi wa Udom?asaivi wameenda kula sikukuu tulieni placement hadi mwezi wa 1 mwakani mzee wa flush kaenda sikukuu
hisia zangu zinanituma hadi januarySikukuu na kuna Pepa za Tra za kusahihisha? Au zinasahihishwa na wanafunzi wa Udom?
Tuombe asije akapoteze flash huko kwenye sikukuuasaivi wameenda kula sikukuu tulieni placement hadi mwezi wa 1 mwakani mzee wa flush kaenda sikukuu
kumbe za September hazijaisha tu? sisi wa Oktoba inabidi tuendelee kuvuta subira.wale wa MNH toka mwezi wa 9
Kua na subra mwezi wa tisa bado na uwe na panadol utumishi wanakanda sana ili ukikosa upooze maumivukumbe za September hazijaisha tu? sisi wa Oktoba inabidi tuendelee kuvuta subira.
Akili yng inaniambia hadi januaryMwezi huu placement s zipo aminini kwamba
sasa MNH kuchelewa kwenu haihusiani kuwa taasisi nyengine zisitokeee km zina uhitajiiwale wa MNH toka mwezi wa 9
Sio kwamba mi nahusika no nasema tu application zote nishakandwa nasikiliziasasa MNH kuchelewa kwenu haihusiani kuwa taasisi nyengine zisitokeee km zina uhitajii
Kua serious na kitu unacho comment mkuu maana mzaha wako uta affect the entire life ya mtu.400 - 600K
Hapo sawa,, huyo analeta masikharaKua serious na kitu unacho comment mkuu maana mzaha wako uta affect the entire life ya mtu.
Hiyo scale inaonekana ni ya taasisi.
Na mishahara ya taasisi kwa diploma huanza na 800k+.
Hata huko local government penyewe mwenye diploma huanza na 550k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi hufanyika kwa njia ya transfers, ambapo muombaji hupaswa kupitisha barua kwa mwajiriGreat thinkers naomba niwaulize swali tafadhali.
Hivi inawezekana mtu aliyeajiriwa tayari na majeshi yetu ya ulinzi na usalama akaomba nafasi za kazi ambazo zinatangazwa na PSRS kama kada nyingine wanavyofanya?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti TGS E ni shilling ngapi400 - 600K
Asante sana chief kwa madini.Mara nyingi hufanyika kwa njia ya transfers, ambapo muombaji hupaswa kupitisha barua kwa mwajiri
Na hii ikitokea tangazo la kazi huainisha katika vigezo na masharti, vinginevyo, haipaswi kwa muajiriwa kuomba, na hata ikitokea ameomba na kushinda itakua ngum kuingia katika payroll kwa maana ya ku-process cheque no.