Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hamtaki nije kupotea kama wanavyopotea wengine wakishalamba Asali!!?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Madini sijawahi kuwa nayo, natembea tu na miongozo iliyoandaliwa na wengine
Hahahaha ukilamba asali kuhudhuria humu yataka moyo mno nawaelewa wanaokimbia.


But unafanya jambo kubwa sana kaka kuwapa miongozo walamba asali. Nakumbuka vita ya STATUS tuliipigna vyema dhidi ya ndugu wizy na wenzie hatimae vijana wakatuelewa.
 
Kuna kanzidata za aina tatu:
1. Za wahitimu wa Vyuo na Wataalam
2. Za waliofaulu usaili
3. Za waliopangiwa vituo vya kazi.

Najikita kwenye Kanzi data ya waliofaulu usaili ambayo imezungumziwa kwenye kanuni namba 22.

Imelezewa kuwa orodha ya waliofaulu usahili mahojiano na hawakuweza kupata nafasi itatunzwa kwa matumizi ya baadae(1), itatumika kujaza nafasi wazi kulingana na mahitaji ya waajiri(2), endapo hii orodha itakuwa imeisha baada ya watu wote kupangiwa vituo vya kazi au waliopo kanzi data watakuwa hawana sifa au utaalamu anaouhitaji mwajiri, nafasi za ajira zitatangazwa(3),

Kulingana na hivyo vipengele vya kanuni inaonesha kuwa sifa au utaalamu wa mtu aliyepo kanzi data ndio utamuwezesha kupangiwa kituo endapo nafasi yenye kuhitaji sifa au utaalamu alionao itapatikana, hapa sasa ndio pale tunapoona watu wanapangiwa vituo kwenye taasisi tofauti tofauti ambazo hawakuzifanyia usahili.

Kuhusu kuangalia suala la qualifications za vyeti kama unavyotaka hapa mimi naona hili lipo ndani ya sifa au utaalamu uliotajwa kwenye kanuni hii.
Mwifwa naona unashusha vifungu tu,
 
Hahahaha ukilamba asali kuhudhuria humu yataka moyo mno nawaelewa wanaokimbia.


But unafanya jambo kubwa sana kaka kuwapa miongozo walamba asali. Nakumbuka vita ya STATUS tuliipigna vyema dhidi ya ndugu wizy na wenzie hatimae vijana wakatuelewa.
Hatimaye status zikaondoka na wizy , kwamba na miongozo ya kanuni itaondoka na mimi!?[emoji3][emoji3][emoji3]

Tusikimbie bana hata kama tukishakamilisha mission(Asali)
 
Back
Top Bottom