Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwenye app mm nina selected for null nilifanya oral mwezi uliopita,

nina not selected for null nilifeli written,

Lkn nina selected for oral inteviw ambapo nilifanya written na practical kwenda oral...

Nb.
Not selected for null nyekundu, selected for null ya kijani,
Nadhani kwenye wanaofanya practical kunakuwa na selected for oral, kwenye app kama navoiona mm na watu washaitwa job since jully.
 
Fact kama izi ndo za muhimu kimsingi kumbe huenda baadhi ya waliofanya oral na waliofail written huwa wanaandikiwa hio "" not selected for null""

"""Lets leave room to add new data"""
 
Ya inaweza kuwa ni fact, lakin pia sio dhambi kuamini unachotaka kuamini, coz kuna mwanangu apa as soon as oral kuisha kakutana na "" not selected for null"" na hivi vitu haviji bahati mbaya na sio huyu tu humu ndani nishapitia comment kazaa za watu wana "" not selected for null na wamepiga oral.

Na mpaka leo hakuna ushuhuda humu mtu mwenye ""not selected for null""" kalamba asali, isipo kua wote waliolamba asali wana ""selected for null"".

Navo hisi selected for null ni umepata passmark inayotakiwa oral, so unaweza faulu lakini umefaulu kwa kiwango gani. nafasi ipo moja, sawa wote mna passmark(selected for null) but wawo watamchukua mwenye passmark kubwa coz nafasi ni moja.
Huyu ni Wizy mtupu🤣🤣🤣
 
Huyo mkaka ulimwambia anareact vizuri sio kuliko kama mimi eti!?[emoji3][emoji3][emoji3]
Nlimwambia hamtofautian, kuna mtu alishawah kukusema humu reaction yako nliipenda, yaan positive kabisa, na yeye naona kama kweli sio Wizy basi ana reaction nzuri, maana sio kwa anavyoandamwa[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom