Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Baba Jeni bye byeIla angalia sana pdf lolote linaweza tokea mda wowote kama una selected for null.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba Jeni bye byeIla angalia sana pdf lolote linaweza tokea mda wowote kama una selected for null.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hahahahaha! Mkuu huu ukarimu umetoa wapi? Mbona wewe ni mwenzetu tunakujua vizuri, au kwa sababu ni ......... ndio unataka kujijazia nyama peke yako.
Hii ni bye bye kabisaBaba Jeni bye bye
Fact kama izi ndo za muhimu kimsingi kumbe huenda baadhi ya waliofanya oral na waliofail written huwa wanaandikiwa hio "" not selected for null""Kwenye app mm nina selected for null nilifanya oral mwezi uliopita,
nina not selected for null nilifeli written,
Lkn nina selected for oral inteviw ambapo nilifanya written na practical kwenda oral...
Nb.
Not selected for null nyekundu, selected for null ya kijani,
Nadhani kwenye wanaofanya practical kunakuwa na selected for oral, kwenye app kama navoiona mm na watu washaitwa job since jully.
Naona unachezea sharubu za jobless[emoji3][emoji3][emoji3]. Tutakugawana ujue[emoji23]Nenda huko web Kuna Pdf Lina MB 8 sijui la nini..
Tupieni macho huko usikute Taasisi zote wameunganisha humu for placements [emoji851]
Muhusika kaja kuanza alipoishia.Hivi huu mjadala wa status umetokea wapi[emoji23][emoji23] au ndio ................. kaurudisha
Tena Kwa kasi ya 10GMuhusika kaja kuanza alipoishia.
Wizy na yupo radhi umuue ila sio kumwambia status hazina umuhimu baada ya OralHivi ndio wizy alivyokuwa anateka uzi, kugusia kidogo status naona watu wanaanza kuicheza hiyo ngoma.
Hahahahaha Wizy kakaa kaona moyo unamuuma Kaamua kuja kwa kasi zaidiHivi ndio wizy alivyokuwa anateka uzi, kugusia kidogo status naona watu wanaanza kuicheza hiyo ngoma.
Mkuu, hv placements ya Jana hujapata mrija wa Asali au unasubiria taasisi gani mwenzangu..?Hahahahaha Wizy kakaa kaona moyo unamuuma Kaamua kuja kwa kasi zaidi
Badoo wewe vipi hukoMkuu, hv placements ya Jana hujapata mrija wa Asali au unasubiria taasisi gani mwenzangu..?
Huyu ni Wizy mtupu🤣🤣🤣Ya inaweza kuwa ni fact, lakin pia sio dhambi kuamini unachotaka kuamini, coz kuna mwanangu apa as soon as oral kuisha kakutana na "" not selected for null"" na hivi vitu haviji bahati mbaya na sio huyu tu humu ndani nishapitia comment kazaa za watu wana "" not selected for null na wamepiga oral.
Na mpaka leo hakuna ushuhuda humu mtu mwenye ""not selected for null""" kalamba asali, isipo kua wote waliolamba asali wana ""selected for null"".
Navo hisi selected for null ni umepata passmark inayotakiwa oral, so unaweza faulu lakini umefaulu kwa kiwango gani. nafasi ipo moja, sawa wote mna passmark(selected for null) but wawo watamchukua mwenye passmark kubwa coz nafasi ni moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni Wizy mtupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo mkaka ulimwambia anareact vizuri sio kuliko kama mimi eti!?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nlimwambia hamtofautian, kuna mtu alishawah kukusema humu reaction yako nliipenda, yaan positive kabisa, na yeye naona kama kweli sio Wizy basi ana reaction nzuri, maana sio kwa anavyoandamwa[emoji23][emoji23]Huyo mkaka ulimwambia anareact vizuri sio kuliko kama mimi eti!?[emoji3][emoji3][emoji3]
Mi wamenikataWakuu, humu Ndani hakuna aliyeitwa Usaili Udom..? Maana naona kimya sana licha ya Lile pdf kushiba namna ile
Post ipiMi wamenikata