Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Sawa mkuuHawa wa kanzidata kutoka TFS!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuHawa wa kanzidata kutoka TFS!
Hutaki kwenda kuchambua PGO kotini ukiwa upande wa Jamhuri ee!?Hapana hapana, ata kazi za State Attorney siombag, sijui siku nmetolewa kanzidata itakuaje
Mimi sio wewe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hii inatoka jioni ya leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mwifwa ukilamba asali usikimbie.
Anamwogopa KIBATALA[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hutaki kwenda kuchambua PGO kotini ukiwa upande wa Jamhuri ee!?
Eeeh, kumbe nikiwa sipo mnanijadilii hivi[emoji23][emoji23][emoji23]Anamwogopa KIBATALA[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hapo mimi sipo[emoji1751][emoji1751]Anamwogopa KIBATALA[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ngoja niache kusema lile neno( pigio) maana linaibua mengine[emoji3]Eeeh, kumbe nikiwa sipo mnanijadilii hivi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikae macho[emoji23], anyways simuogop mtu yyte ila kuna sababu inanifanya nisiipende hiyo kazi, though nkipata nafanya tu kuukimbia ujobless[emoji3062][emoji3062]Ngoja niache kusema lile neno( pigio) maana linaibua mengine[emoji3]
Kaka embu njoo PM...Ngoja niache kusema lile neno( pigio) maana linaibua mengine[emoji3]
Ukiipata kwenye hiyo position kakusanye mtaji undeleze goli lako, mambo yakitiki, kula kona(acha kazi).Ngoja nikae macho[emoji23], anyways simuogop mtu yyte ila kuna sababu inanifanya nisiipende hiyo kazi, though nkipata nafanya tu kuukimbia ujobless[emoji3062][emoji3062]
Karibu mkuuKaka embu njoo PM...
Cheki Pm Yako.Karibu mkuu
Hapana, sikuombaUkiipata kwenye hiyo position kakusanye mtaji undeleze goli lako, mambo yakitiki, kula kona(acha kazi).
Na hizi nafasi kwa OSG hukuomba pia?
Hv hawa ndo wnasheria waliofanya Usaili kupitia zile kazi za MDA & LGA mwezi October...?Wakili wa serikali
Dalili sio nzuri"Selected for" ya kijani kwenye app. na "selected" ya kijani kwenye web inadalili gani?
atakua ameshakandwa.Dalili sio nzuri