Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahahahaaaa.

Siku ukipata mrija utakuwa na memory nzuri sana kwenye hustle
Sana aisee.

Tumemaliza vyuo miaka ya hivyo sana.

Mimi naanza chuo watu mwaka wa nne wanakazi tayari mkononi anasubiriwa tu amalize semester.

Tutatoboa tu mbona.
 
Back
Top Bottom