Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ahsante sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana mkuu
Ahsante sana mkuu, Mungu ni mwema sana anatufanya tulambe asali mmoja baada ya mwingineHongera sana kaka, hakika tumefurahi aisee... Umetupa moyo wengi hatimae na wewe unaenda kulamba asali hakika ni furaha ilioje
Nililala saa tisa usiku tena baada ya Luku kuniishia[emoji3][emoji3][emoji3]Kaka huwezi para usingizi hongera sanaaaaaaa
Hivi hii PDF ina mabadiliko?Wale wa OSG ofisi ya wakili mkuu wa serikali PDF yao imerudishwa tayari
Hakuna mabadiliko kaka.Hivi hii PDF ina mabadiliko?
Haina mabadiliko, ipo vile vileHivi hii PDF ina mabadiliko?
Ahsante sana mkuu, tuishi kwa wema wakati woteJamaa Obviously ametumotevate sana vijana wenzie humu kwa kiasi kikubwa kwa madini Mbalimbali. Uungwana alikuwanao pia umefanya watu waapreciate mafanikio aliyoyapata.
Pia kitu ambacho niliona ni Cha kitofauti sana kwa jamaa tofauti na wengi wetu tuliopo humu kuwa jamaa alikuwa muwazi sana, kashakandwa saili kibao Ila hakusita kuleta mrejesho humu hii ilionesha kuwa jamaa ana ukomavu wa hali ya juu sana na hii ilipelekea baadhi ya watu hata kumwonea huruma na kumwombea japo kwa saili moja hii aliyofanikiwa kuingia Oral basi Mungu amtendee miujiza na kweli Mungu katenda.
Bila kusahau kuwa Mwifwa hana wivu licha ya yeye kukandwa na kupoteza mafanikio ya kupata kazi bado alizidi kuwapongeza wale waliokuwa wanafanikiwa na kuwatakia majukumu mema..
Hii iko poa sana, Mungu atutendee miujiza wote humu kwenye hii safari yetu tufike salam
Karibu sana mkuu hapa pembozoni mwa mjini Daslam kwa upande wa magharibi along Moro roadHakika Natamani nije kuona na huyu mwamba one day
Mbona gape kubwa sana, ina maana watu 71 walikosa sifa wote!?°Utumishi wanazingua wanawaambia nafasi za kazi ni 180s halafu wanaajiri 109
Hawa wamegawana gawana though wote ni mastate attorneyMbona gape kubwa sana, ina maana watu 71 walikosa sifa wote!?
Legend wa miongozo huo, mpe title tu, content atashuka nayo[emoji23][emoji23][emoji23], hatari sanaa kwamba hiyo ni assignment kwa wizy a.k.a....
Na uje Bahari Beach uchukue saa ya kiofisi ofisi ata kama hutumiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji2957][emoji2957]Karibu sana mkuu hapa pembozoni mwa mjini Daslam kwa upande wa magharibi along Moro road
Pole sana mkuu, Be strong, haikuwa riziki yako, riziki yako ipo muda ukifika hamna wa kuizuia.Mimi toka jana naugulia maumivu ya kukandwa nikashindwa hata kuwapongeza waliopata......sijaamini bado kuwa nimekosa nafasi zile za NPS. Ha ha ha. Written nilifanya fresh kabisa, na huko oral sijui nini kilibadilika...
Anyway ndiyo life hilo...maisha lazima yaendelee. Hongereni mliopata mrija wa asali. Jina la Mungu lipewe sifa.
Ahsante sana mkuuWoow congratulations [emoji322][emoji122][emoji322]
Big up Sana champ
Wewe Ni mshindi Sana umeweza kuwa Mwalimu wa wengi
Congratulations again [emoji322][emoji122]
Uliwahi kusikia ripoti ya CAG ambapo wanaume walionekana kupata huduma ya kujifungua kwa Bima ya Afya?[emoji3][emoji3][emoji3]Ofisi ya ukaguzi madaktar wa nin au me ndo sielew nlifkiri ni mambo ya accounts tu au,nitoen ushamba
Ahsante sana mkuu.Hongera sana mkuu, mnazidi kutupa matumaini na sisi ambao tulikuwa tumekata Tamaa.
Watu Wengi wanajua Auditing ni Accounting and finance, Auditing ni kitu kipana Sana, na Kuna Auditing ambazo ziko very specific eg Pharmacy, Medical, Water resources,Ujenzi, ndio maana unakuta NAOT Kuna engineers,MD,Teachers, Pharmacists, Quantity SurveyorsUliwahi kusikia ripoti ya CAG ambapo wanaume walionekana kupata huduma ya kujifungua kwa Bima ya Afya?[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hiyo accountant anaweza kubaini hili?
Ahsante sana mkuuHongera sana kaka...
Ahsante sana mkuu, mimi nipo hapa ni nyumbani siwezi kupakimbiaHongera sana Mkuu, we ni mtu humble sana.
Mimi nimekufahamu hata kabla ya huu Uzi, siku zote hujawahi badilika.
MUNGU akutangulie katika Utumishi mwema.
Na aibariki Familia yako.
Usiache kuja kwenye huu, uzi hata kutupa moyo. Sisi ambao bado.
Nasi siku yetu inakuja.
Ahsante sana mkuu kwa kunikaribisha. Mimi ndio huyo kwenye Avatar jaribu kuzoom unaweza kunifahamu sura ya form one hiyo[emoji3][emoji3]Yaan kaka nimefarijika as if nakufaham kwa sura mzee baba[emoji3][emoji3], karibu sana kwenye Grid ya taifa ya asali . Hongera sana bro