meck pro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,353
- 2,924
Ndio Mkuu Ina kila kitu mpaka kituoHapo wamekutumia Barua ya Kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Mkuu Ina kila kitu mpaka kituoHapo wamekutumia Barua ya Kazi?
Inabidi hili swala liangaliwe kwa kinaHata kanda ya kusini pia makao makuu ni Mtwara lkn wamepangiwa Dar.
Hongera sana utakua mkoa gani mkuu?Ndio Mkuu Ina kila kitu mpaka kituo
Mkuu we ni QS kabisa inaonekana.Kada nyingine other than Accounting and finance,wanahusika zaidi na VALUE FOR MONEY AUDIT ,kwa mfano Mkaguzi anakagua ubora wa miradi ya ujenzi(Construction projects),hapo itabidi Auditor(Accountant) afanye kazi yake upande wa financials za mambo mbalimbali ya ujenzi kama uhalisia wa gharama za manunuzi ya vifaa,utoaji wa tenda n.k ambapo report yake ataikamilisha kwa kupata technical input ya report ya Engineer/Quantity Surveyor kuhusu kama jengo limejengwa kufuatana na BOQ(Bill of Quantities) ambayo ilikuwa base ya costing ya mradi,pamoja na parameters zingine za ubora wa jengo
Form iv leaver huyoMkuu we ni QS kabisa inaonekana.
Salary scale yako ni ipi?Furaha ya Leo ni Zaid ya siku nimeona placement guess what hahahahaha tukutane mwisho wa mwezi Benki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atakuwa ni 2.4mSalary scale yako ni ipi?
Form IV leaver aijue wapi Bills of Quantitaties, wenye degree tu wengi wao hawaijui....jamaa itakua ndo profession yake kama si engineer.Form iv leaver huyo
Ahsante mkuu, umetupa mwangaza hapaNdio Mkuu Ina kila kitu mpaka kituo
Labda ni form iv leaver halafu ni fundiForm IV leaver aijue wapi Bills of Quantitaties, wenye degree tu wengi wao hawaijui....jamaa itakua ndo profession yake kama si engineer.
Mkuu hongera, ningeshangaa sana ungekosa nafasi mwaka huu maana unaonekana uko makini una content.Ahsante mkuu, umetupa mwangaza hapa
Hehe we jamaa mbona unamdharau mwenzio...wewe una level gani? Ni mwajiriwa ama una saka ajira?Labda ni form iv leaver halafu ni fundi
Nna Degree ya ECONOMICS, CPA (T) na Msc in financeHehe we jamaa mbona unamdharau mwenzio...wewe una level gani? Ni mwajiriwa ama una saka ajira?
Hongera brother mmetuonyesha njia na kututia moyo ,mmetupa imani hakika nyinyi ni mifano ya kuigwa nasisi tuko njiani tunakuja .Furaha ya Leo ni Zaid ya siku nimeona placement guess what hahahahaha tukutane mwisho wa mwezi Benki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh kaka mbona unamdharau mwenzako hivyo[emoji26]Form iv leaver huyo
Sio kigezo cha kumwambia mwenzio humu form four leaver, yaan inshort wacha mtu aongee mwenyewe level yake ya elimu sio kumuongelea humu, wote humu aim yetu ni kupata kazi swala la elimu hatuna habari nazoNna Degree ya ECONOMICS, CPA (T) na Msc in finance
Siwezi Sema hili nowHongera sana utakua mkoa gani mkuu?
Una earn ngapi per month?Nna Degree ya ECONOMICS, CPA (T) na Msc in finance
Amna ni VETA huyo mkuu hawezi fika huko af hana masters.Atakuwa ni 2.4m
Ok mkuu tuishi umo, japo kutaja mkoa haitakufanya ujulikane maana mkoa una veta nyingiSiwezi Sema hili now