Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kada nyingine other than Accounting and finance,wanahusika zaidi na VALUE FOR MONEY AUDIT ,kwa mfano Mkaguzi anakagua ubora wa miradi ya ujenzi(Construction projects),hapo itabidi Auditor(Accountant) afanye kazi yake upande wa financials za mambo mbalimbali ya ujenzi kama uhalisia wa gharama za manunuzi ya vifaa,utoaji wa tenda n.k ambapo report yake ataikamilisha kwa kupata technical input ya report ya Engineer/Quantity Surveyor kuhusu kama jengo limejengwa kufuatana na BOQ(Bill of Quantities) ambayo ilikuwa base ya costing ya mradi,pamoja na parameters zingine za ubora wa jengo
Mkuu we ni QS kabisa inaonekana.
 
Furaha ya Leo ni Zaid ya siku nimeona placement guess what hahahahaha tukutane mwisho wa mwezi Benki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongera brother mmetuonyesha njia na kututia moyo ,mmetupa imani hakika nyinyi ni mifano ya kuigwa nasisi tuko njiani tunakuja .

Kila la kheri mkawe watumishi wema
Cc @mwifa Ahmet
 
Back
Top Bottom