MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
VizuriWanakubali, Kikubwa Barua iwe na Majina sahihi kama yanavyoonekana kwenye vyeti vyako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VizuriWanakubali, Kikubwa Barua iwe na Majina sahihi kama yanavyoonekana kwenye vyeti vyako
Sawa sawaWanakubali
Kiongozi kwenye majeshi vipi ? Umepiga chini sema utumishi hakuna mambo ya connection ni fairTuko poa kaka,ushaenda DODOMA?
Tayari mkuu, sasa nageuka kuja mjiniTuko poa kaka,ushaenda DODOMA?
Kote kote tunasaka Fursa,Utumishi kweli hakuna Connection,Kuna jamaa namfahamu ndugu yake Mkubwa sana lakini mpaka Sasa tunaenda pambana nae usaili wote....Kule unapigwa,unajipanga,ikifika muda wako unatoboa tu.Kiongozi kwenye majeshi vipi ? Umepiga chini sema utumishi hakuna mambo ya connection ni fair
Ndio mkuu, na sasa nageuzaUshafika Dom mkuu
WanaikubaliHivi siku hizi kama huna kitambulisho chochote barua ya utambulisho wa mwenyekiti wa mtaa wanaikubali ?
Au mambo yamebadilika
Pamoja Kiongozi,hongera sana.Naona utakuwa hukuamini pale unapewa barua kwamba ndio Mimi Huyu.Ila Mungu ni mwema sana.Kila jambo na Wakati wake.Wakati ukifika hakuna wa kuzuia.Kikubwa tusikate tamaa na sie wengineo ambao Bado hatujapata Huku tukisuburi Placements au sailiTayari mkuu, sasa nageuka kuja mjini
Ni sahihi mkuu.Kote kote tunasaka Fursa,Utumishi kweli hakuna Connection,Kuna jamaa namfahamu ndugu yake Mkubwa sana lakini mpaka Sasa tunaenda pambana nae usaili wote....Kule unapigwa,unajipanga,ikifika muda wako unatoboa tu.
Nadhani hata
Mwifwa
na wengineo wanajua.
Mapambano yaendeleeNi sahihi mkuu.
Sura nilizoziona wakati tunasubmit nyaraka, ni sura za kazi/kupambana wengine wako aged yaani late 30 jambo ambalo linaonesha wamefight hadi wakabahatika kupata nafasi.
Kwa hiyo hata kama watakuwepo wa kuchomekwa watakuwa wachche ukilinganisha na majority.
Sf sana waendelee kua fair hvy hvy watt wa maskini tupate kuingia kwenye mrija w asaliNi sahihi mkuu.
Sura nilizoziona wakati tunasubmit nyaraka, ni sura za kazi/kupambana wengine wako aged yaani late 30 jambo ambalo linaonesha wamefight hadi wakabahatika kupata nafasi.
Kwa hiyo hata kama watakuwepo wa kuchomekwa watakuwa wachche ukilinganisha na majority.
Pale Masijala ya Nje ukipewa barua kuna feeling fulani unakahisi ni amazing sana, yaani roho inapoa sana na kusahau misukosuko mingi ya huko nyuma.Pamoja Kiongozi,hongera sana.Naona utakuwa hukuamini pale unapewa barua kwamba ndio Mimi Huyu.Ila Mungu ni mwema sana.Kila jambo na Wakati wake.Wakati ukifika hakuna wa kuzuia.Kikubwa tusikate tamaa na sie wengineo ambao Bado hatujapata Huku tukisuburi Placements au saili
Juhudi zetu zibaki kwenye kuonesha umahiri wa kukandaSf sana waendelee kua fair hvy hvy watt wa maskini tupate kuingia kwenye mrija w asali
Amiin mpambanajiPale Masijala ya Nje ukipewa barua kuna feeling fulani unakahisi ni amazing sana, yaani roho inapoa sana na kusahau misukosuko mingi ya huko nyuma.
Nawaombea na wengine mkatimize hii hatua
Amen.Pale Masijala ya Nje ukipewa barua kuna feeling fulani unakahisi ni amazing sana, yaani roho inapoa sana na kusahau misukosuko mingi ya huko nyuma.
Nawaombea na wengine mkatimize hii hatua
Niliona kwenye Placements wameishia hadi mwezi Wa kumi na Moja.Je mfano wale watu wa RUWASA waliofanya tarehe 28/11 inaweza chukua hadi lini Majina kutokaNimegundua kitu kuhusu hizi placements.
Yaani zinapitia hatua ndefu hadi zije zitoke ndio maana tunaona zinachelewa sana.
Barua zetu zimeandikwa tarehe 8/12/2022(mwezi mmoja baada ya Oral) halafu placement imetoka tarehe 9/1/2023(mwezi mmoja baada ya barua kauandaliwa).
Je hiyo interval ya mwezi mmoja mmoja, nini huwa kinafanyika?
Turejee kanuni zao.
Baada ya Oral matokeo hukusanywa/alama zinakusanywa zinakuwa compile sehemu moja kama oral ilifanyika sehemu tofauti tofauti(yaani PSRS na Zenji). Then Mwenyekiti wa jopo la Panelist atakabidhiwa hayo matokeo na yeye atayawasilisha kwenye Board ili placement zikapangwe kulingana na ufaulu wa oral.(hapo mwezi ushakatika).
Mwezi mwingine inakuja suala la kusainiwa, Hapa mzee Kitenge atatenga muda wa kuzisaini barua zote zilizoandaliwa, hadi kumaliza mwezi ushakatika.
Baada ya hapo ndio zamu ya placements inafika, ikitoka tu barua ziko tayari ndio maana kuchukua barua haichukui muda ni dk chache tu.
Kwa hiyo mnaosubiri placement inabidi mtambue hilo na subira ndio silaha ya kuishi nayo katika hicho chote
AMEN 🙏🏾 , HONGERA SANA MWIFWAPale Masijala ya Nje ukipewa barua kuna feeling fulani unakahisi ni amazing sana, yaani roho inapoa sana na kusahau misukosuko mingi ya huko nyuma.
Nawaombea na wengine mkatimize hii hatua