Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Soma uelewe kwanza, umequote kitu hata hukijui mzee, vp umepata chakula cha mchana lkin?
Hii chakula cha mchana inahusianaje na majadiliano yenu? Acha maneno ya kebehi kama intellectuals mnatakiwa mu argue kwa point lengo likiwa sio kumtafuta mshindi bali kutambua kipi ni sahihi ili next time msipate tabu hiyo tena.
 
Kaka tuufunge huu mjadala tundelee na mada nyingine .. Kitu nilichokiona mtu hata akigundua hakua sahihi anaendelea kukomaa na msimamo wake, hataki kula maneno

Kwa hiyo hatutafikia muafaka
 
Imebidi niwapigie picha notsi za Conceptual Framework kwenye kitabu cha Kaplan cha ACCA ukiendelea kuwabishia mpaka ACCA wewe ni noma
20230115_143443.jpg
 
You've to understand this, when there is contradiction between the framework na any provision of standard, IAS's, the provision/standard prevails.
I agree with you, because Conceptual Framework itself advocate that, Framework does not override any IFRS.
 
Back
Top Bottom