Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wadau!
Hamna uhusiano wa status na kupata kazi,status kote zinakuwa za aina Moja tu.PDF ya Mwisho kutoka kwenye usaili na Database ndio muamuzi wa Mwisho.
Kama status zingekuwa zinakuaminisha ya kuwa tayari umepata kazi basi usingekuwa unaitwa usaili Mwingine kabla ya placements au baada ya placements.
Kwa maana mfumo ungekuwa tayari umekutambua tayari una kazi labda inasubiri Barua tu.
Kwa hiyo Hitimisho PDF ndio kila kitu.
Ahmet
meckpro
Yakunle
Mwifwa
Maryjuan
 
Hapo kwenye kuitwa usaili umechemka mzee kwa sbb mfumo hauzuii alipata kz asiitwe interview madam umeomba utaitwa tu hata kama ni mtumishi w serkali
 
Babu hizi tayari,kuna manzi ni mpangaji mwenzetu hapa kapata kapangwa kuwa state attorney ofisi ya wakili mkuu wa serikali interview ilifanyika mwaka jana October na placements zimetoka tarehe 10 mwezi huu.
Mbona mchanganya, MDA na LGA bado jamani, ebu waachie wenye fani yao ndo wanajua nini kinaongelewa hapa, watu mpo wabishi aisee[emoji41], tofautisha State attorney, prosecutor hawa ndo wale wapo under NPS (Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali) hawa nao placement zao tyar na kazi zilitangazwa separate kabisa nahisi walihitaji 80 kama sikosei na Legal Officer, Legal Officers bado, hizo zote zimetoka but Legal Officers wa MDA na LGA bado! Yaan inshort labda niwaeleweshe, MDA na LGA walikuwa wanataka Legal Officers ambapo legal afisa ni afisa sheria anaweza fanya kazi sehemu yoyote, halmashauri, wizarani, kwenye agencies, departments etc, so LGA na MDA kulikuwa na position mbili, it's either ufanye interview ya wakili wa serikali(state attorney) under ofisi hiyo ya wakili mkuu wa serikali, ama ufanye legal officer, waliofanya state attorney ndo placement zao zimetoka but waliofanya legal officer bado. Kama mnakumbuka walihitaji state attorneys 100 na legal officers 110
Ndo maana nasemaga hapa kama kitu hukielewi hapa sio lazima kubisha.
View attachment 2484073
 
Hv mwajiri anatafutiwa au anatafuta/anachagua mwenyewe Ila kupitia utumishi..? Maana niliona comment ya ya psrs inasema kuwa.. suala Zima la kutafuta Watumishi lazima mwajiri/taasisi iwepo.. kwa mantiki hyo mwajiri anahusika kwenye written interview mpaka kwenye Usaili wa Oral anakuwepo kujichagulia watu Bora anaowataka.. Au sio
Kujichagulia? Anaanzaje kwa mfano?
 
Wadau!
Hamna uhusiano wa status na kupata kazi,status kote zinakuwa za aina Moja tu.PDF ya Mwisho kutoka kwenye usaili na Database ndio muamuzi wa Mwisho.
Kama status zingekuwa zinakuaminisha ya kuwa tayari umepata kazi basi usingekuwa unaitwa usaili Mwingine kabla ya placements au baada ya placements.
Kwa maana mfumo ungekuwa tayari umekutambua tayari una kazi labda inasubiri Barua tu.
Kwa hiyo Hitimisho PDF ndio kila kitu.
Ahmet
meckpro
Yakunle
Mwifwa
Maryjuan
Ndio hivyo mkuu.

Sikuwahi kujisumbua kuangalia status baada ya Oral hadi siku placement ilipotoka ndio nikaangalia nikakuta imeandikwa SELECTED FOR ORAL INTERVIEW, pia ile namba ya written ikawa bado inaonekana pale.
 
Back
Top Bottom