Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu na bahati yake katika maisha.Najua amekupa moto wa wewe pia kupambana mwaka huu...!! Hongera sana kwa jirani yako.Unayefuata uwe wewe kaka.
Hakika,lakini ni raha Sana kuona mtu unayemfahamu amepata kazi,inakupa nguvu ya kuona na wewe Wakati wako Ukifika basi kila kitu kitakuwa sawa,Kikubwa ni kupambana tu.Kila mtu na bahati yake katika maisha.
Hapo kwenye kuitwa usaili umechemka mzee kwa sbb mfumo hauzuii alipata kz asiitwe interview madam umeomba utaitwa tu hata kama ni mtumishi w serkaliWadau!
Hamna uhusiano wa status na kupata kazi,status kote zinakuwa za aina Moja tu.PDF ya Mwisho kutoka kwenye usaili na Database ndio muamuzi wa Mwisho.
Kama status zingekuwa zinakuaminisha ya kuwa tayari umepata kazi basi usingekuwa unaitwa usaili Mwingine kabla ya placements au baada ya placements.
Kwa maana mfumo ungekuwa tayari umekutambua tayari una kazi labda inasubiri Barua tu.
Kwa hiyo Hitimisho PDF ndio kila kitu.
Ahmet
meckpro
Yakunle
Mwifwa
Maryjuan
Ndio maana nimeomba maoni yenu.Nami Bado najifunza...Hapo kwenye kuitwa usaili umechemka mzee kwa sbb mfumo hauzuii alipata kz asiitwe interview madam umeomba utaitwa tu hata kama ni mtumishi w serkali
Nina jamaa yangu kapata kazi psrs tangu mwezi jully lkn za TRA kaitwa usaili juzi tuNdio maana nimeomba maoni yenu.Nami Bado najifunza...
Yes hata Mimi marafiki Zangu waliopata ndio walikuwa wananambia hivyoNina jamaa yangu kapata kazi psrs tangu mwezi jully lkn za TRA kaitwa usaili juzi tu
Ndio hivyo kaka.PDF ndio kila kitu kama alivyokuwa amesema ndugumazaga one kwanza hizi status zenyewe ni Kisanga tu.. watu wako na wiki 6 toka Usaili Ila mbona hazijabadilika chochote.. hazieleweki tu bhna..
Kama unasema Subiri pdf
Mbona mchanganya, MDA na LGA bado jamani, ebu waachie wenye fani yao ndo wanajua nini kinaongelewa hapa, watu mpo wabishi aisee[emoji41], tofautisha State attorney, prosecutor hawa ndo wale wapo under NPS (Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali) hawa nao placement zao tyar na kazi zilitangazwa separate kabisa nahisi walihitaji 80 kama sikosei na Legal Officer, Legal Officers bado, hizo zote zimetoka but Legal Officers wa MDA na LGA bado! Yaan inshort labda niwaeleweshe, MDA na LGA walikuwa wanataka Legal Officers ambapo legal afisa ni afisa sheria anaweza fanya kazi sehemu yoyote, halmashauri, wizarani, kwenye agencies, departments etc, so LGA na MDA kulikuwa na position mbili, it's either ufanye interview ya wakili wa serikali(state attorney) under ofisi hiyo ya wakili mkuu wa serikali, ama ufanye legal officer, waliofanya state attorney ndo placement zao zimetoka but waliofanya legal officer bado. Kama mnakumbuka walihitaji state attorneys 100 na legal officers 110Babu hizi tayari,kuna manzi ni mpangaji mwenzetu hapa kapata kapangwa kuwa state attorney ofisi ya wakili mkuu wa serikali interview ilifanyika mwaka jana October na placements zimetoka tarehe 10 mwezi huu.
Hv zile saili za HESLB zilifanyika mwezi gani wakuu...?
Huyo Jamaa kapata kabisa KAZI ,au anasubiri barua?Nina jamaa yangu kapata kazi psrs tangu mwezi jully lkn za TRA kaitwa usaili juzi tu
Kaanza kazi muda sana, na mshahara anakula bob.Huyo Jamaa kapata kabisa KAZI ,au anasubiri barua?
Kujichagulia? Anaanzaje kwa mfano?Hv mwajiri anatafutiwa au anatafuta/anachagua mwenyewe Ila kupitia utumishi..? Maana niliona comment ya ya psrs inasema kuwa.. suala Zima la kutafuta Watumishi lazima mwajiri/taasisi iwepo.. kwa mantiki hyo mwajiri anahusika kwenye written interview mpaka kwenye Usaili wa Oral anakuwepo kujichagulia watu Bora anaowataka.. Au sio
Atakwama mbele maana wakiingiza jina kwa system watagundua tayari ni mtumishi wa umma na huruhusiwi kuomba kazi ya level ile ile .Kaanza kazi muda sana, na mshahara anakula bob.
Hakufanya usaili, alipotezea ingawa alikuwa anatamani TRA.Atakwama mbele maana wakiingiza jina kwa system watagundua tayari ni mtumishi wa umma na huruhusiwi kuomba kazi ya level ile ile .
Tarehe 8 Novemba, 2022.Hv zile saili za HESLB zilifanyika mwezi gani wakuu...?
Ndio hivyo mkuu.Wadau!
Hamna uhusiano wa status na kupata kazi,status kote zinakuwa za aina Moja tu.PDF ya Mwisho kutoka kwenye usaili na Database ndio muamuzi wa Mwisho.
Kama status zingekuwa zinakuaminisha ya kuwa tayari umepata kazi basi usingekuwa unaitwa usaili Mwingine kabla ya placements au baada ya placements.
Kwa maana mfumo ungekuwa tayari umekutambua tayari una kazi labda inasubiri Barua tu.
Kwa hiyo Hitimisho PDF ndio kila kitu.
Ahmet
meckpro
Yakunle
Mwifwa
Maryjuan