Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Mwenyewe nilijua imeshafanyika namna huko.Mbona mnatutisha jamani.mnashangilia alafu hatuoni pdf jmni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe nilijua imeshafanyika namna huko.Mbona mnatutisha jamani.mnashangilia alafu hatuoni pdf jmni
Kaka tunaishi kwa imani tunaamini km Mungu amepanga ipo ipo tu, na kama hajapanga pia tunashukuru kwasababu tunayopangiwa yote ni mema na tunastahili kwa wakati husika,,,Mbona mnatutisha jamani.mnashangilia alafu hatuoni pdf jmni
Shauri yakoKaka tunaishi kwa imani tunaamini km Mungu amepanga ipo ipo tu, na kama hajapanga pia tunashukuru kwasababu tunayopangiwa yote ni mema na tunastahili kwa wakati husika,,,
KabisaHuu mkeka bila shaka utakuwa mzito, maana nyomi za post zilikuwa nyingi
Sure kabisa mkuu, hili somo nimelielewa huwa nasahau kbs sema niliona tu imekumbushiwa kwa juu nikaona nichangie, lkn nishamove on KITAMBO SANA.....Shauri yako
Achana na status mzee baba.
Kuna mate wangu Alienda oral ya chuo cha maji lkn ni almost 2yrs now status iko SELECTED FOR oral kama hiyo yako.
Subiria pdf.
fanya mishe zingine
Kifupi status hazina issue ni ksbri tu pdf as long utumish hawana utartbu wa kuweka wazi matokeo ya oral bas ni kusbri t pdf hayo mengne ya status ni kujarbu t kujipa moyo kwmba ulifaulu lkn uhalisia utumishi ndo wanaojuaShauri yako
Achana na status mzee baba.
Kuna mate wangu Alienda oral ya chuo cha maji lkn ni almost 2yrs now status iko SELECTED FOR oral kama hiyo yako.
Subiria pdf.
fanya mishe zingine
Hongera na mwenyewe juma3 inshaAllah naingia mjengoniNiliipeleka mkuu,
Jumatatu nd'o naanza majukumu.
Hongera sana shekh Allah akusimamie uwe mtumishi mwemaHongera na mwenyewe juma3 inshaAllah naingia mjengoni
AmiinHongera sana shekh Allah akusimamie uwe mtumishi mwema
Hongera sana mkuu, tunakuamini ukatuwakilishe vyema, na ss tuko njiani kuelekea kwenye mrija.Hongera na mwenyewe juma3 inshaAllah naingia mjengoni
Asante, naamini kila mtu ataramba asali Kwa wataki wakeHongera sana mkuu, tunakuamini ukatuwakilishe vyema, na ss tuko njiani kuelekea kwenye mrija.
Safi sana mzee baba J3 unakua kuku mgeni utumishini.Asante, naamini kila mtu ataramba asali Kwa wataki wake
Amen kaka, mukipata muda muingie huku tunawahitaji sana as usual tunapeana moyo na kufarijiana.Asante, naamini kila mtu ataramba asali Kwa wataki wake
Wale panelists ndio wanaamua tu wamchukue yupi,hii ni kutokana na wao wanavyoona kama utawafaa au lah...Kifupi status hazina issue ni ksbri tu pdf as long utumish hawana utartbu wa kuweka wazi matokeo ya oral bas ni kusbri t pdf hayo mengne ya status ni kujarbu t kujipa moyo kwmba ulifaulu lkn uhalisia utumishi ndo wanaojua
Prok ni mtu mmoja ningependa kuona nae, inaonyesha una moyo sana, mtulivu na mwenye subira.Kabisa, ushauri mzuri sana. Mimi nlikuwa kila saa nawaza placement, nasema placement zitoke ili nijue mwelekeo wa maisha yangu, nashindwa ata kutekeleza mipango mingine nkiwaza nikipata kazi je, ila unakuta placement zinatoka simo, hapo ndo shida, ila sasa hivi, ni kama hamna ninachokisubiria, nawashauri hivi vitu sio vya kuwaza kabisa, sasa hivi nafanya kazi like utumishi sijawah ata fanya interview, siku placement zimetoka kama nipo itakuwa double double, kama sipo bado nakuwa na kitu cha kuniweka mjini. Hivyo yani
Kabisa kaka sisi tupo humu sana, mpaka nimekuwa verified 🤣Amen kaka, mukipata muda muingie huku tunawahitaji sana as usual tunapeana moyo na kufarijiana.
Kila jambo la kheri huenda kwa kheri kila la kheri kaka. Sio jambo baya pia ni baraka tu, Mm binafsi nimewabless vijana jengeni mji. Prok nisamehe kama nakosea[emoji3][emoji3][emoji3]Prok ni mtu mmoja ningeenda kuona nae, inaonyesha una moyo sana, mtulivu na mwenye subira.
Natamani hadi kutangazwa Nia[emoji56]
Au nitangaze
Safi ndugu yangu. Naimani tutaendelea kuingia mtijani mmoja mmoja humu tll the endKabisa kaka sisi tupo humu sana, mpaka nimekuwa verified [emoji1787]
😂😂😂Kila jambo la kheri huenda kwa kheri kila la kheri kaka. Sio jambo baya pia ni baraka tu, Mm binafsi nimewabless vijana jengeni mji. Prok nisamehe kama nakosea[emoji3][emoji3][emoji3]