Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu, wale tuliitwa Usaili UDSM hapo NKURUMAH HALL Kuna uwezekano wa kupata guest/lodge bei cheap pia nilale sehemu gani karibu na huo ukumbi..?
Au tupeane uzoefu basi, coz ni mara yangu ya kwanza kufanya hapo Usaili.
Wale wa mjini jamani
 
Lala kibo pale kuna lodge inaitwa jay jay
Vyumba vinaanzia elf 10 kwa single room
Nimewahi lala self inaanzia elf 12 vipo vya bei ya zaidi pia mpaka elf 15 KIBO na UDSM karibu ,asbh unachukua bora inakupeleke udsm moja kwa moja au bajaji mpaka njiapanda ya chuo then unachukua nyingine ya kwenda chuo

Ila ipo ndani kidogo lazima upate maelekezo ya mwenyeji ni kama dk 5 mpak 10 toka kituo cha daladala,usalama upo vizuri maji masaa 24
0624131450 jaribu kucheki na muhusika ukiona hapakufai utatafuta pengine
 
Back
Top Bottom