Mwanakatwe2020
Member
- Sep 23, 2022
- 28
- 63
Tuvute subra tuuu, watatoaWritten tulizofanya MDAs na LGAs mpka leo matokeo kimya[emoji25]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuvute subra tuuu, watatoaWritten tulizofanya MDAs na LGAs mpka leo matokeo kimya[emoji25]
Basi ndo hvyo.. issue ya taarifa za kuitwa au kutoitwa hawajaweka hata kwa ambao wameitwaPDF nimeiona mkuu, ila simo na status bado inasoma received
Duh,ya kweli hayo mkuu?Hapana mzee, tumekubaliana mapambano mpaka kieleweke.
Ile ngoma yenu inasahihishwa kama mitihani ya Necta, wiki ya pili sasa, jamaa wanasoma neno kwa neno. 😂
Ipi hiyoVipi tunaenda tena au ile ya juzi imekuvunja moyo?
Mimi nilifanya oral ya MDAs na LGAs za Accountant II nov 2022 ila mpaka Leo majibu ya oral badoWritten tulizofanya MDAs na LGAs mpka leo matokeo kimya[emoji25]
oral ni kawaida kuchelewa but written haijawahi tokea hiviMimi nilifanya oral ya MDAs na LGAs za Accountant II nov 2022 ila mpaka Leo majibu ya oral bado
CPA(T) humu JF napakubali sana hatujuani lkn pana wataalamu. Hakika nafarijika sana. Tuendelee kusubiri mkuu nyie wa november nadhani yako jikoniMimi nilifanya oral ya MDAs na LGAs za Accountant II nov 2022 ila mpaka Leo majibu ya oral bado
Unaweza kutwa unaitwa Mungu alivyo wa ajabu, don't lose hopeSina hata hopes kwakwel,ndomana nimekaa tu kimya nazoom discussions zenyu.
Wacha nisubrie nafasi zingne tu kama zitatokea[emoji3061] but for this,am not even counting on it
Wacha niendelee kusubiri miujiza[emoji2],mana nlivofanya na Mungu tu ndo anajua[emoji3061]Unaweza kutwa unaitwa Mungu alivyo wa ajabu, don't lose hope
Ulifanya kada gani?Wacha niendelee kusubiri miujiza[emoji2],mana nlivofanya na Mungu tu ndo anajua[emoji3061]
Hakika, hapaswi kukata tamaa namna hiyo.Unaweza kutwa unaitwa Mungu alivyo wa ajabu, don't lose hope
Hilo nyomi la wasakatonge sasa 🙈🙈🙈🙈🦍🦍🦍,hiiiiii ,in Magu's voiceWale wa tpdc
tUTAISHI NAZO TU1Nimo mkuu,sema nafasi 2 tu then watu 2000+
Wakuu, wale tuliitwa Usaili UDSM hapo NKURUMAH HALL Kuna uwezekano wa kupata guest/lodge bei cheap pia nilale sehemu gani karibu na huo ukumbi..?
Au tupeane uzoefu basi, coz ni mara yangu ya kwanza kufanya hapo Usaili.
Wale wa mjini jamani
Lala kibo pale kuna lodge inaitwa jay jayWakuu, wale tuliitwa Usaili UDSM hapo NKURUMAH HALL Kuna uwezekano wa kupata guest/lodge bei cheap pia nilale sehemu gani karibu na huo ukumbi..?
Au tupeane uzoefu basi, coz ni mara yangu ya kwanza kufanya hapo Usaili.
Wale wa mjini jamani
Ahsante sana, day 1 imeisha hiyo ya kunolewaKaka best wishes, ukawe mtumishi mwema[emoji1431]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sitaki kipindi Cha nyuma ulikua unanitenga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daahh, vavulensi hii[emoji3][emoji3]Unataka unitapeli mamilioni yangu