Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Me nadhani wewe umesimuliwa tu basi ukalichukua kama lilivyo.anyway kila mtu aamimi anavyoamini hakuna haja ya kubishana kwenye hilo.
Hayaa kiongozi endelea kuishi na dhana. Nilimalizia na kukupa ushauri usiupuuze ukiitwa Oral usisahau tie yako nyekundu kuivaa
 
Nafasi katika hiyo post zilipunguzwa mpaka kubaki moja baada ya kufunga maombi ya usaili au wakati majina ya "shortlist" ya usahili yanatolewa?

Na je, wakati wa kutuma maombi zilikua nafasi ngapi katika hiyo post mpaka ukashawishika kuomba mkuu?
Nafasi hazijabadilika, na niliomba nikiwa naelewa kabisa, hilo nilikuwa najua interview nyingi ni dar au Dodoma kulingana na experience yangu.
 
Tunazungumzia tai nyekundu, wewe unauliza eti tai ndiyo usmart pekee?
Nimejaribu kumuelewa alichomaanisha, kama tai ni sehemu ya usmart katika usaili, tai nyekundu ni makosa, anauliza inakuwaje kwa mtu asiyevaa tai kabisa, mosi.

Pili, kama agenda ni tai nyekundu ilikuaje ukaleta hapa hoja ya law school na viatu visivyo na kama kuwa ni makosa.
Law school of Tanzania ukivaa kiatu ambacho hakina kamba kwenye oral examination wanapunguza marks, unalijua hili? Penda kujifunza
 
Mkuu nashukuru ingawa hili shavu lilikuja na majanga yake lakini Mungu ni mwema sana bado tunapambana. Siku mambo yakikaa vizuri nitakuja humu kutoa ushuhuda wangu katika safari yangu kwenye utumishi wa umma.

Majanga gani tena chief na barua mkononi unayo? Pole
Vipi wwlisema umepewa kimakosa huiustahili au??
 
Nimejaribu kumuelewa alichomaanisha, kama tai ni sehemu ya usmart katika usaili, tai nyekundu ni makosa, anauliza inakuwaje kwa mtu adiyevaa tai kabisa, mosi.

Pili, kama agenda ni tai nyekundu ilikuaje ukaleta hapa hoja ya law school na viatu visivyo na kama kuwa ni makosa.
Nilitaka kuonesha kila sehemu na utaratibu wake maana law school kwa mfano tai nyekundu hawakatazi na inashauriwa uvae tai nyekundu! So asiwe anabisha tu kitu ambacho hakijui
 
Nilitaka kuonesha kila sehemu na utaratibu wake maana law school kwa mfano tai nyekundu hawakatazi na inashauriwa uvae tai nyekundu! So asiwe anabisha tu kitu ambacho hakijui
Umelijibu hili ki-utaalam zaidi, kama rangi ya tai ina-matter kulingana na profession, sasa iambie hadhara kwanini unafikiri ni sahihi ku-generalize kuwa tai nyekundu hairususiwi katika interview?
 
Mkuu mazaga one hapa Sasa tuje kwenye vipengele vingine tukiacha maswali.. hv kwa sisi vijna suruali zetu inabidi tuvaaje tukichomekea.. yaan bagi kidogo(kwa juu)[emoji16],
Kimlege kidogo au kaba kiuno..?
Nadhan hii ni muhimu sana mkuu.
Bila kusahau hizi modo zetu na rangi ya mikanda pia...

Haya weka neno then twende kazi
Cha muhimu ni kuvaa modo kama za Ali Kiba.
 
Back
Top Bottom