Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,718
Hawakufelishi kaka ila marks za usmart zinapunguzwa from beginningUtumishi hawana time na Tai mim kpnd nfny oral ckuvaa tai na pia nlikua na ndevu km zote na mrija wa asali nkafyonza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakufelishi kaka ila marks za usmart zinapunguzwa from beginningUtumishi hawana time na Tai mim kpnd nfny oral ckuvaa tai na pia nlikua na ndevu km zote na mrija wa asali nkafyonza
Utumishi hawana time na Tai mim kpnd nfny oral ckuvaa tai na pia nlikua na ndevu km zote na mrija wa asali nkafyonza
Kwa hiyo kwa uelewa wako wewe mtu kuwa smart ni kuvaa tai tu?Hawakufelishi kaka ila marks za usmart zinapunguzwa from beginning
Hayaa kiongozi endelea kuishi na dhana. Nilimalizia na kukupa ushauri usiupuuze ukiitwa Oral usisahau tie yako nyekundu kuivaaMe nadhani wewe umesimuliwa tu basi ukalichukua kama lilivyo.anyway kila mtu aamimi anavyoamini hakuna haja ya kubishana kwenye hilo.
Sorry Kaka, uhakika wa chai upo? Maana umekua mkali na uelewiKwa hiyo kwa uelewa wako wewe mtu kuwa smart ni kuvaa tai tu?
Nafasi hazijabadilika, na niliomba nikiwa naelewa kabisa, hilo nilikuwa najua interview nyingi ni dar au Dodoma kulingana na experience yangu.Nafasi katika hiyo post zilipunguzwa mpaka kubaki moja baada ya kufunga maombi ya usaili au wakati majina ya "shortlist" ya usahili yanatolewa?
Na je, wakati wa kutuma maombi zilikua nafasi ngapi katika hiyo post mpaka ukashawishika kuomba mkuu?
Jikite kwenye hoja,kwangu chai huwa sio kipaumbele.Sorry Kaka, uhakika wa chai upo? Maana umekua mkali na uelewi
Ok, kila la kheri mkuu.Nafasi hazijabadilika, na niliomba nikiwa naelewa kabisa, hilo nilikuwa najua interview nyingi ni dar au Dodoma kulingana na experience yangu.
Tunazungumzia tai nyekundu, wewe unauliza eti tai ndiyo usmart pekee?Jikite kwenye hoja,kwangu chai huwa sio kipaumbele.
Sidhani kama hili ni jibu sahihi kwa swali husika.Sorry Kaka, uhakika wa chai upo? Maana umekua mkali na uelewi
Ningekua mwalimu ilitakiwa nimpige bakora za kutosha maana haelewi na mbishi sanaSidhani kama hili ni jibu sahihi kwa swali husika.
Nafikiri wasailiwa wazingatie muongozo wa mavazi katika utumishi wa umma.
Nimejaribu kumuelewa alichomaanisha, kama tai ni sehemu ya usmart katika usaili, tai nyekundu ni makosa, anauliza inakuwaje kwa mtu asiyevaa tai kabisa, mosi.Tunazungumzia tai nyekundu, wewe unauliza eti tai ndiyo usmart pekee?
Law school of Tanzania ukivaa kiatu ambacho hakina kamba kwenye oral examination wanapunguza marks, unalijua hili? Penda kujifunza
Mkuu nashukuru ingawa hili shavu lilikuja na majanga yake lakini Mungu ni mwema sana bado tunapambana. Siku mambo yakikaa vizuri nitakuja humu kutoa ushuhuda wangu katika safari yangu kwenye utumishi wa umma.
Majanga gani tena chief na barua mkononi unayo? PoleMkuu nashukuru ingawa hili shavu lilikuja na majanga yake lakini Mungu ni mwema sana bado tunapambana. Siku mambo yakikaa vizuri nitakuja humu kutoa ushuhuda wangu katika safari yangu kwenye utumishi wa umma.
Nilitaka kuonesha kila sehemu na utaratibu wake maana law school kwa mfano tai nyekundu hawakatazi na inashauriwa uvae tai nyekundu! So asiwe anabisha tu kitu ambacho hakijuiNimejaribu kumuelewa alichomaanisha, kama tai ni sehemu ya usmart katika usaili, tai nyekundu ni makosa, anauliza inakuwaje kwa mtu adiyevaa tai kabisa, mosi.
Pili, kama agenda ni tai nyekundu ilikuaje ukaleta hapa hoja ya law school na viatu visivyo na kama kuwa ni makosa.
Umelijibu hili ki-utaalam zaidi, kama rangi ya tai ina-matter kulingana na profession, sasa iambie hadhara kwanini unafikiri ni sahihi ku-generalize kuwa tai nyekundu hairususiwi katika interview?Nilitaka kuonesha kila sehemu na utaratibu wake maana law school kwa mfano tai nyekundu hawakatazi na inashauriwa uvae tai nyekundu! So asiwe anabisha tu kitu ambacho hakijui
Hamna kitu kama hicho,jamaa yangu mmoja nilimuazima tai yangu nyekundu kwendea oral interview hapo utumishi na akapata kazi.
Sikuacha swali hata moja,Hivi kuna mlamba asali yeyote alieshindwa kujibu swali kweny oral na akapata kazi ?
Hilo ndio la msingi.Sikuacha swali hata moja,
Bila kujali naliweza au vinginevyo, nilitumia concept tu.
Cha muhimu ni kuvaa modo kama za Ali Kiba.Mkuu mazaga one hapa Sasa tuje kwenye vipengele vingine tukiacha maswali.. hv kwa sisi vijna suruali zetu inabidi tuvaaje tukichomekea.. yaan bagi kidogo(kwa juu)[emoji16],
Kimlege kidogo au kaba kiuno..?
Nadhan hii ni muhimu sana mkuu.
Bila kusahau hizi modo zetu na rangi ya mikanda pia...
Haya weka neno then twende kazi
Baada ya usaili na kuniruhusu kuondoka, mimi niliwashukuru wanajopo wote kwa usaili mzuri walionifanyia.Body language, facial, smile, kusalimia, kuingia mule, posture, gesture etc mtujuze wadau