Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu hivi wale wenye saili tatu Yaani Written,practical mpaka oral utaratibu wao huwa ukoje?

Ni Written interview matokeo. PAss to Practical interview ,pass practical interview to Oral interview.

Au huwa inakuajeee
 
Wadau hivi ukikosea kuweka barua katika post ambayo haiendani na barua inakuwaje?
Kama deadline haijafika, unaweza badilisha uka upload pdf nyingine, lakin kama deadline tayari.. Kuna jamaa angu hakuitwa written kwasababu alikosea sanduku la posta kwenye barua yake., Ila mimi niliwahi kuitwa written mara kadhaa na nikiwa nimekosea barua. So nahisi sijui inategemea na saili yenyewe

.Ni kuomba Mungu tu , yoyote yanawezekana
 
Kama deadline haijafika, unaweza badilisha uka upload pdf nyingine, lakin kama deadline tayari.. Kuna jamaa angu hakuitwa written kwasababu alikosea sanduku la posta kwenye barua yake., Ila mimi niliwahi kuitwa written mara kadhaa na nikiwa nimekosea barua .. So nahisi sijui inategemea na saili yenyewe .Ni kuomba Mungu tu , yoyote yanawezekana
Ooh asante...deadline ishapita...niliweka maksudi baada ya post niliyoihitaji kugoma ingali vigezo nilikuwa navyo...assistant lecturer posts.
 
Wakuu hivi wale wenye saili tatu Yaani Written,practical mpaka oral utaratibu wao huwa ukoje???
Ni Written interview matokeo...PAss to Practical interview ,pass practical interview to Oral interview ...
Au huwa inakuajeee
Utaratibu upo kama kawaida unafanya written unasubiria matokeo ukipita unafanya practical ukipita unafanya oral alafu unasubiria PDF [emoji23]
 
Wakuu hivi wale wenye saili tatu Yaani Written,practical mpaka oral utaratibu wao huwa ukoje???
Ni Written interview matokeo...PAss to Practical interview ,pass practical interview to Oral interview ...
Au huwa inakuajeee
Inaanza shortlisted for written interview. Ukitoboa written kwenda practical ni selected for practical interview, Ukitopoa practical inakuja selected for aral interview inakomeaga hapo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Yaan mlifeli kwenye written then Oral mkaenda wachache kulingana na post zinazohitajika.. bado wachache haohao mkakandwa oral..
Vipi baada ya kumaliza Oral interview wote mliuzana kuwa interview iliendaje, kama mlifanya hvyo vipi kuhusu comment ya Kila mmoja about That..?
Iyo interview haikua na written ilikua ni oral tuu..kwenye wachache hao hao bado kuna waliokandwa
 
Back
Top Bottom