Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna wakati unapiga Hovyo Hovyo alaf unakuta placement umo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna wakati unapiga Hovyo Hovyo alaf unakuta placement umo
😂😂😂😂😂 Wale jamaa Wana akili sana.Unaweza Kuta mtu hauko sawa siku hiyoKuna wakati unapiga Hovyo Hovyo alaf unakuta placement umo
Mazaga,,,, hakuna placement yoyote huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wale jamaa Wana akili sana.Unaweza Kuta mtu hauko sawa siku hiyo
Sijaona kaka,kwani Kuna habari gani huko kwenye Website???Mazaga,,,, hakuna placement yoyote huko
OkaySema nafasi ni kubwa sana, ukikosa ujue umeharibu vibaya mno!
SawaGuarantee haipo, vigezo na masharti lazima vizingatiwe kwa mujibu wa psrs.
Duu hatariMm nmefanya interview ..tulofanya tulikua wachache kuliko nafas zlizotangazwa na bado hatukuchukuliwa wote kuna watu panga liliwapitia kwenye oral nafas zkapelea kibao
Usiwaze mkuu ushapat kz hapo wait for pdfDuu hatari
Kama deadline haijafika, unaweza badilisha uka upload pdf nyingine, lakin kama deadline tayari.. Kuna jamaa angu hakuitwa written kwasababu alikosea sanduku la posta kwenye barua yake., Ila mimi niliwahi kuitwa written mara kadhaa na nikiwa nimekosea barua. So nahisi sijui inategemea na saili yenyeweWadau hivi ukikosea kuweka barua katika post ambayo haiendani na barua inakuwaje?
Ooh asante...deadline ishapita...niliweka maksudi baada ya post niliyoihitaji kugoma ingali vigezo nilikuwa navyo...assistant lecturer posts.Kama deadline haijafika, unaweza badilisha uka upload pdf nyingine, lakin kama deadline tayari.. Kuna jamaa angu hakuitwa written kwasababu alikosea sanduku la posta kwenye barua yake., Ila mimi niliwahi kuitwa written mara kadhaa na nikiwa nimekosea barua .. So nahisi sijui inategemea na saili yenyewe .Ni kuomba Mungu tu , yoyote yanawezekana
Hao ndo utumishi, unyama mwingi sanaaa, unaambiwa jikaze kijana wa kitanzaniaMm nmefanya interview ..tulofanya tulikua wachache kuliko nafas zlizotangazwa na bado hatukuchukuliwa wote kuna watu panga liliwapitia kwenye oral nafas zkapelea kibao
Utaratibu upo kama kawaida unafanya written unasubiria matokeo ukipita unafanya practical ukipita unafanya oral alafu unasubiria PDF [emoji23]Wakuu hivi wale wenye saili tatu Yaani Written,practical mpaka oral utaratibu wao huwa ukoje???
Ni Written interview matokeo...PAss to Practical interview ,pass practical interview to Oral interview ...
Au huwa inakuajeee
AmenMungu atusaidie vijana wasaka mrija
Ungesema post husika inahusu nini
Inaanza shortlisted for written interview. Ukitoboa written kwenda practical ni selected for practical interview, Ukitopoa practical inakuja selected for aral interview inakomeaga hapoWakuu hivi wale wenye saili tatu Yaani Written,practical mpaka oral utaratibu wao huwa ukoje???
Ni Written interview matokeo...PAss to Practical interview ,pass practical interview to Oral interview ...
Au huwa inakuajeee
Iyo interview haikua na written ilikua ni oral tuu..kwenye wachache hao hao bado kuna waliokandwaYaan mlifeli kwenye written then Oral mkaenda wachache kulingana na post zinazohitajika.. bado wachache haohao mkakandwa oral..
Vipi baada ya kumaliza Oral interview wote mliuzana kuwa interview iliendaje, kama mlifanya hvyo vipi kuhusu comment ya Kila mmoja about That..?
Ilikua post gani mkuu?Iyo interview haikua na written ilikua ni oral tuu..kwenye wachache hao hao bado kuna waliokandwa