Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

PRSS 1

Basic salary ni 1.1M

Take home itategemea na makato ya muhusika mmoja mmoja (especially % ya mkopo uliopata kutoka Heslb)

I have a friend of mine anafanya kazi huko TARI.
Mungu asaidie tupate mrija wa asali ili tukatimize ndoto zetu za kuwa watumishi wa umma. Tusikate tamaa, ule wakati ambao unaona umechoka na hauwezi kuendelea, tambua ndio wakati sahihi wa Mungu kukushangaza na kukuinua katika viwango vya juu.
 
upo sahihi na kuna wakati unaweza kujuta baadhi ya sekta kwamba ni bora hata ungejichanganya ukafanya mbilinge zako mtaani

unakuta hali ni afadhali na aliyejiajiri

ndio mana kuna wakati serikali inataman vijana wajikite kwenye kutengeneza fursa binafsi za kuwaingizia kipato na ndizo zinachangia hata ukuaji wa uchumi wa nchi kwa haraka kuliko hata ukichukua kundi kubwa la vijana ukalipatia ajira serikalini

Hahahahaha! Huu ni ukweli mtupu boss.
 
Shukrani mkuu, but kama utafanikiwa kwenye upekuzi wako tunaomba utuwekee na bei ya ASA(Agricultural Seed Agency)ambazo ni :-
ASAS 4 = Degree
ASAS 3 = Diploma
PRSS 1

Basic salary ni 1.1M

Take home itategemea na makato ya muhusika mmoja mmoja (especially % ya mkopo uliopata kutoka Heslb)

I have a friend of mine anafanya kazi huko TARI.
 
Leteni katopic kengine basi ka kuhusu kazi haya maswala ya status uwiii, kila mtu anakuja na lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mtaua watu kwa pressure
Tatzo watu wanataka kualalisha Status zina matter kwny PDF wanatukosea sn si tunaosubir Placement wanafanya kila muda tuingie kuangalia Status wkt tulikuwa tushakubal kutumia Website 1 tu ya Ajira tukiangaza Majina yetu kwny Placements na Sio Status
 
Shukrani mkuu, but kama utafanikiwa kwenye upekuzi wako tunaomba utuwekee na bei ya ASA(Agricultural Seed Agency)ambazo ni :-
ASAS 4 = Degree
ASAS 3 = Diploma
Mkuu hizi salary za serikalini hazitofautiani sana ni kwa baadhi tu ya taasisi chache ndo kuna utofauti, so kama we ni degree jiekee kichwani kua take home yako haiwezi zidi 1.0M na haipungui 600k, Baadae ukija kupata kazi utanishukuru maana hutokua na expectations kubwa.
 
Back
Top Bottom