Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Mungu asaidie tupate mrija wa asali ili tukatimize ndoto zetu za kuwa watumishi wa umma. Tusikate tamaa, ule wakati ambao unaona umechoka na hauwezi kuendelea, tambua ndio wakati sahihi wa Mungu kukushangaza na kukuinua katika viwango vya juu.PRSS 1
Basic salary ni 1.1M
Take home itategemea na makato ya muhusika mmoja mmoja (especially % ya mkopo uliopata kutoka Heslb)
I have a friend of mine anafanya kazi huko TARI.