smurof
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 103
- 293
Akienda na tie nyekundu AMEKWISHAAA 😂Nenda kanunue suti yenye kizibao kwajili ya kufata barua, usisahau tai, ila anagalia rangi ya tai🤣🤣🤣🤣
Barua inachanwa mbele yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akienda na tie nyekundu AMEKWISHAAA 😂Nenda kanunue suti yenye kizibao kwajili ya kufata barua, usisahau tai, ila anagalia rangi ya tai🤣🤣🤣🤣
Hakika ji nene mambo mazuri na yatatokea, Na ikawa heri mkuu.Duuuh, mkuu haya maneno yako yawe ndio Uhalisia..
Nitashukuru sana Mungu na mitume yake
Oyaa, kuna mwanetu humu kapata HESLB na alitinga tie nyekundu katika mahojiano.Akienda na tie nyekundu AMEKWISHAAA 😂
Barua inachanwa mbele yake
Hii skuizi huwa sio shida ni kazi ya siku mojaYeah, inaoekana barua huwa inaandaliwa mapema, nafikiri mtihani upo katika kutia sahihi/signature mkuu wa wakandaji. Fikiria watu 400+ itabidi atumie siku ngapi kukamilisha hilo zoezi.
kitu kinaitwa Tai hapana kabisaAkienda na tie nyekundu AMEKWISHAAA 😂
Barua inachanwa mbele yake
Asimuache mganga wake huyo😃Oyaa, kuna mwanetu humu kapata HESLB na alitinga tie nyekundu katika mahojiano.
Ndo ameshapenya mkuu 😃😁Asimuache mganga wake huyo😃
Kama kijana kavaa red tai kapata kazi, mim ntapiga full juu mpka chin red na tai red. Vijana humu kumbe mlikua mnatutisha tu.Asimuache mganga wake huyo😃
Kwa record, hata bandari huwa wanaachia mkeka ndani ya kipindi kifupi toka kumalizika kwa usahili wa mahojiano.Hii skuizi huwa sio shida ni kazi ya siku moja
Mihuri inapigwa na secretary mhuni kazi yake ni kusign tu
Hapo sawToka tarehe ya mwisho kufunga oral hawajawahi timiza mwez.. we hesabia tarehe ya mwisho kufunga mwez wa oral ni tarehe 17 january 2023.. expect before tarehe 17 Feb wanaweza wakatoa
Hizi taasisi kubwa hawana mambo ya kukaa miezi mitatu miwili wao wakikaa sana ni mwezi mkeka huooKwa record, hata bandari huwa wanaachia mkeka ndani ya kipindi kifupi toka kumalizika kwa usahili wa mahojiano.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]smurofHizi taasisi kubwa hawana mambo ya kukaa miezi mitatu miwili wao wakikaa sana ni mwezi mkeka huoo
Sasa wale wa April walikuwa 1400+ Na ndani ya week 3 barua zao zilikuwa tayari zimekamilika
Na skuizi kila kitu ni computer, anasign moja inakuwa scanned na printed coloured zinatoka kwa idadi yenu mnafata [emoji2]
We mzee hizi ni taarifa za ndaaaani, au just guessing..Hizi taasisi kubwa hawana mambo ya kukaa miezi mitatu miwili wao wakikaa sana ni mwezi mkeka huoo
Sasa wale wa April walikuwa 1400+ Na ndani ya week 3 barua zao zilikuwa tayari zimekamilika
Na skuizi kila kitu ni computer, anasign moja inakuwa scanned na printed coloured zinatoka kwa idadi yenu mnafata 😃
We tuliaa kiongozi neema inakaribia kwakoWe mzee hizi ni taarifa za ndaaaani, au just guessing..
Leo napost placement
Mtaalam maswali yang nakkmbusha anytime veta wanaweza kuachia mkekaLeo napost placement
hongera tayari upo kwenye database.Naona vitu vimeganda tu huko kwenye App...
Hamna Cha mabadiliko Wala makasiriko[emoji16]View attachment 2507577