Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yeah, inaoekana barua huwa inaandaliwa mapema, nafikiri mtihani upo katika kutia sahihi/signature mkuu wa wakandaji. Fikiria watu 400+ itabidi atumie siku ngapi kukamilisha hilo zoezi.
Hii skuizi huwa sio shida ni kazi ya siku moja
Mihuri inapigwa na secretary mhuni kazi yake ni kusign tu
 
Kwa record, hata bandari huwa wanaachia mkeka ndani ya kipindi kifupi toka kumalizika kwa usahili wa mahojiano.
Hizi taasisi kubwa hawana mambo ya kukaa miezi mitatu miwili wao wakikaa sana ni mwezi mkeka huoo
Sasa wale wa April walikuwa 1400+ Na ndani ya week 3 barua zao zilikuwa tayari zimekamilika
Na skuizi kila kitu ni computer, anasign moja inakuwa scanned na printed coloured zinatoka kwa idadi yenu mnafata 😃
 
Hizi taasisi kubwa hawana mambo ya kukaa miezi mitatu miwili wao wakikaa sana ni mwezi mkeka huoo
Sasa wale wa April walikuwa 1400+ Na ndani ya week 3 barua zao zilikuwa tayari zimekamilika
Na skuizi kila kitu ni computer, anasign moja inakuwa scanned na printed coloured zinatoka kwa idadi yenu mnafata [emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]smurof
 
Hizi taasisi kubwa hawana mambo ya kukaa miezi mitatu miwili wao wakikaa sana ni mwezi mkeka huoo
Sasa wale wa April walikuwa 1400+ Na ndani ya week 3 barua zao zilikuwa tayari zimekamilika
Na skuizi kila kitu ni computer, anasign moja inakuwa scanned na printed coloured zinatoka kwa idadi yenu mnafata 😃
We mzee hizi ni taarifa za ndaaaani, au just guessing..
 
We mzee hizi ni taarifa za ndaaaani, au just guessing..
We tuliaa kiongozi neema inakaribia kwako
Kina Mwifwa hao wa NAOT ilibidi waende jobu December sema mara nyingi december ni mwezi wa kwenda Sensa ya kaskazini na likizo nyingi ikabidi ivutwe mpaka january
buyu la asali lishaandaliwa na linatiwa mirija kwa ajili ya wanfyonzaji 😋😄
 
Naona vitu vimeganda tu huko kwenye App...
Hamna Cha mabadiliko Wala makasiriko[emoji16]
Screenshot_20230205-202107_2.jpg
 
Back
Top Bottom