Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Obviously napenda influences kama hizi Huwa zinasaidia kiondoa msongo wa mawazo.. yaan Ile unarecall jinsi ulivyofanya Usaili, swali Fulani lilikushinda inakondesha kabisa
Nimefanya interview kadhaa na chache nilizofika oral lakini Bado sijafanikiwa, hapo mwanzo nilikua napatwa na msongo wa mawazo sana ila baadae niliweza kupambana na hii Hali. Nikifeli naona Kuna kubwa zaid mbele yangu, naamini Kuna kubwa zaid nimepangiwa. Matokeo yakitoka hua nakua na furaha haijalish nimefeli na hua natumia muda mwingi kukaa na watu mfululizo mpak nasahau kuhusu Matokeo
 
Pole sana wengi tunapitiaga hizi khali asee ni balaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa,Tuzidi Kumuachia yeye.
Mungu ndo Kila kitu, lakini tuache ile mindset ya matarajio makubwa ya placement, kadri unavowaza kuhusu Matokeo na ndio yatakuja kukutesa hapo baadae. Maisha ya ujobless c mazuri lakini tujitaidi kupunguza mawazo yote kwenye jambo Moja.

"Be patient, Your time is not Ready"
|Fenisher
 
Kaka asante sana kwa kutukumbusha, jambo jema hili
Ukiachana na hizi kazi za utumishi jitaidi usiache Mambo mengine ya kujishughulisha. na hizi degree zetu zisitupe kiburi Cha kuamini sisi ni Bora kuliko wengine. Pia tujichanganye na vijana wenzetu huku elimu zetu zisiwe kiburi Cha kusema huezi fanya kazi Fulani. Bora ubaki kimya
 
Hongera sana mkuu.

Mimi pia nilitaja Jina langu lote.

Kuhusu shule nilianzia Chuo nikaishia Olevel tu huku nikitaja mwaka wa kuanza na kumaliza per each.

Kwenye uzoefu nilitaja sehemu niliyofanyia mafunzo kwa vitendo mwaka nilioanza na niliomaliza.

Nilimalizia kwa kusema "Hii ndio historia yangu fupi ya maisha yangu ya shule"

Kwenye Introduction(swali la kwanza) ni rahisi sana kuflow bila kutatarika maana ukipangilia matukio inabaki kutaja tu bila shida
Je ukitoka kwenye panel unakua unaona umejib maswali vizr lakn upati au unadhan ni nin hasa kimekukwamisha kwenye hizo sahili chache ulizofika oral tunaomba kujifunza kutoka kwako please
 
Ukiachana na hizi kazi za utumishi jitaidi usiache Mambo mengine ya kujishughulisha. na hizi degree zetu zisitupe kiburi Cha kuamini sisi ni Bora kuliko wengine. Pia tujichanganye na vijana wenzetu huku elimu zetu zisiwe kiburi Cha kusema huezi fanya kazi Fulani. Bora ubaki kimya
Je ukitoka kwenye panel unaona umejib maswali vizr lakn upati au unadhan ni nin hasa kimekukwamisha kwenye hizo sahili chache ulizofika oral tunaomba kujifunza kutoka kwako please
 
Hizi ishu hazitabiriki mkuu, ndio maana huwa tunasema Pdf ndio msema kweli.

Unaweza kusema umejibu vizuri na utapata nafasi kumbe sivyo, pia unaweza kusema hujajibi vizuri ila ukapata nafasi.

Kwa hiyo ukipiga Oral subiri msemakweli ambaye ni PDF tu
 
Je ukitoka kwenye panel unaona umejib maswali vizr lakn upati au unadhan ni nin hasa kimekukwamisha kwenye hizo sahili chache ulizofika oral tunaomba kujifunza kutoka kwako please
Mi naamini Cha kwanza kabisa ni Mungu, muda wako haujafika, pia muonekano kuanzia mavazi mpaka jinsi tunanyoa nywele zetu, kujiamini pia ni muhimu sababu inawezekan unajibu vizuri pasipo kujiamin. Hata unapojaribu kutongoza mwanamk ambaye mnaonana siku ya kwanza,naaminin muonekano ni kitu muhimu kwanza na kinachofuata ni jinsi utakavozungumza
 
Nimefanya interview kadhaa na chache nilizofika oral lakini Bado sijafanikiwa, hapo mwanzo nilikua napatwa na msongo wa mawazo sana ila baadae niliweza kupambana na hii Hali. Nikifeli naona Kuna kubwa zaid mbele yangu, naamini Kuna kubwa zaid nimepangiwa. Matokeo yakitoka hua nakua na furaha haijalish nimefeli na hua natumia muda mwingi kukaa na watu mfululizo mpak nasahau kuhusu Matokeo
Mungu mwema, na anajibu kwa wakati sahihi.
 
Acha umavi pimbi wewe,wapi nimekuwa aggressive au hujui hata maana ya ulichokiandika?kusema maswali mnayouliza yanachekesha ndio kuwa aggressive?ningekua aggressive ningetoa my experience?
Sio lazima uniquote mimi,kuna watu wengi tu hapa jukwaani unaweza kudeal nao,sioni umuhimu wa wewe kila ninachokiandika ukifuatilie.
😆😆😆 Habari ya Dodoma mkuu..

Vip umeshachukua barua yako ya kazi?.
 
Naona kuna new generation imerithi uzi tayari wakati wakongwe wakizidi kukaa benchi.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Mkuu watu wanaochati sana humu ni ama Wana:-

1. Received

2. Wamekuwa shortlisted

3. Wamefanya written na wanasubiri matokeo.

4.Wamefaulu written wanasubiri oral ( Kwa hyo wanahitaji tips za ku pass oral)

5. Wamefanya oral na wanasubiri placement huku baadhi wakiwa na stutus tofauti(Na hapa mjadala Huwa ni Mpana sana).

Nje ya hapo wachangiaji ni wachache sana kwani uzi unakua hauwahusu. Ni sasa na wew unavyopita kwenye thread nyngine bila hata kufungua Sabu unaona Haina issue kwako.
 
5 hpo ndio penyewe mkuu
 
Ukiachana na hizi kazi za utumishi jitaidi usiache Mambo mengine ya kujishughulisha. na hizi degree zetu zisitupe kiburi Cha kuamini sisi ni Bora kuliko wengine. Pia tujichanganye na vijana wenzetu huku elimu zetu zisiwe kiburi Cha kusema huezi fanya kazi Fulani. Bora ubaki kimya
Kweli kabisa maisha ni fumbo uwezi jua wapi utatobolea maisha kuna jamaa flani wakati naingia Veta kuanza mwaka wa kwanza 2020 ye alikuwa Umeme mwaka wapili kwa mujibu wake kaomba sana kazi bila mafanikio mwaka jana karamba asali kupitia umeme
 
Back
Top Bottom