Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ishu ya kusign naona ndio inachelewesha, nawaza hivi lakiniWhat cause this?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu ya kusign naona ndio inachelewesha, nawaza hivi lakiniWhat cause this?
Placement ilikua hio jan9. Interview yake ilikua mwezi wa ngap kaka?Naam,ziliandikwa tarehe 8 December, 2022. Placement ikatoka 9 January, 2023
Nimefanya interview kadhaa na chache nilizofika oral lakini Bado sijafanikiwa, hapo mwanzo nilikua napatwa na msongo wa mawazo sana ila baadae niliweza kupambana na hii Hali. Nikifeli naona Kuna kubwa zaid mbele yangu, naamini Kuna kubwa zaid nimepangiwa. Matokeo yakitoka hua nakua na furaha haijalish nimefeli na hua natumia muda mwingi kukaa na watu mfululizo mpak nasahau kuhusu MatokeoObviously napenda influences kama hizi Huwa zinasaidia kiondoa msongo wa mawazo.. yaan Ile unarecall jinsi ulivyofanya Usaili, swali Fulani lilikushinda inakondesha kabisa
Pole sana wengi tunapitiaga hizi khali asee ni balaaNimefanya interview kadhaa na chache nilizofika oral lakini Bado sijafanikiwa, hapo mwanzo nilikua napatwa na msongo wa mawazo sana ila baadae niliweza kupambana na hii Hali. Nikifeli naona Kuna kubwa zaid mbele yangu, naamini Kuna kubwa zaid nimepangiwa. Matokeo yakitoka hua nakua na furaha haijalish nimefeli na hua natumia muda mwingi kukaa na watu mfululizo mpak nasahau kuhusu Matokeo
Mungu ndo Kila kitu, lakini tuache ile mindset ya matarajio makubwa ya placement, kadri unavowaza kuhusu Matokeo na ndio yatakuja kukutesa hapo baadae. Maisha ya ujobless c mazuri lakini tujitaidi kupunguza mawazo yote kwenye jambo Moja.Kweli kabisa,Tuzidi Kumuachia yeye.
Ukiachana na hizi kazi za utumishi jitaidi usiache Mambo mengine ya kujishughulisha. na hizi degree zetu zisitupe kiburi Cha kuamini sisi ni Bora kuliko wengine. Pia tujichanganye na vijana wenzetu huku elimu zetu zisiwe kiburi Cha kusema huezi fanya kazi Fulani. Bora ubaki kimyaKaka asante sana kwa kutukumbusha, jambo jema hili
Je ukitoka kwenye panel unakua unaona umejib maswali vizr lakn upati au unadhan ni nin hasa kimekukwamisha kwenye hizo sahili chache ulizofika oral tunaomba kujifunza kutoka kwako pleaseHongera sana mkuu.
Mimi pia nilitaja Jina langu lote.
Kuhusu shule nilianzia Chuo nikaishia Olevel tu huku nikitaja mwaka wa kuanza na kumaliza per each.
Kwenye uzoefu nilitaja sehemu niliyofanyia mafunzo kwa vitendo mwaka nilioanza na niliomaliza.
Nilimalizia kwa kusema "Hii ndio historia yangu fupi ya maisha yangu ya shule"
Kwenye Introduction(swali la kwanza) ni rahisi sana kuflow bila kutatarika maana ukipangilia matukio inabaki kutaja tu bila shida
Shukrani sanaPole sana wengi tunapitiaga hizi khali asee ni balaa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Je ukitoka kwenye panel unaona umejib maswali vizr lakn upati au unadhan ni nin hasa kimekukwamisha kwenye hizo sahili chache ulizofika oral tunaomba kujifunza kutoka kwako pleaseUkiachana na hizi kazi za utumishi jitaidi usiache Mambo mengine ya kujishughulisha. na hizi degree zetu zisitupe kiburi Cha kuamini sisi ni Bora kuliko wengine. Pia tujichanganye na vijana wenzetu huku elimu zetu zisiwe kiburi Cha kusema huezi fanya kazi Fulani. Bora ubaki kimya
Novemba 7, 2022.Placement ilikua hio jan9. Interview yake ilikua mwezi wa ngap kaka?
Hizi ishu hazitabiriki mkuu, ndio maana huwa tunasema Pdf ndio msema kweli.Je ukitoka kwenye panel unakua unaona umejib maswali vizr lakn upati au unadhan ni nin hasa kimekukwamisha kwenye hizo sahili chache ulizofika oral tunaomba kujifunza kutoka kwako please
Mi naamini Cha kwanza kabisa ni Mungu, muda wako haujafika, pia muonekano kuanzia mavazi mpaka jinsi tunanyoa nywele zetu, kujiamini pia ni muhimu sababu inawezekan unajibu vizuri pasipo kujiamin. Hata unapojaribu kutongoza mwanamk ambaye mnaonana siku ya kwanza,naaminin muonekano ni kitu muhimu kwanza na kinachofuata ni jinsi utakavozungumzaJe ukitoka kwenye panel unaona umejib maswali vizr lakn upati au unadhan ni nin hasa kimekukwamisha kwenye hizo sahili chache ulizofika oral tunaomba kujifunza kutoka kwako please
mkuu nimejikuta nimekua mdau wa huu uzi, hio post niliopiga juzi nami nina selected for null kwenye app yao, ngoja tuone wataamua nn ama nitalamba asaliYaaap hyo mitego miwili wasipojiangalia vizuri wanaweza kunasia kotekote dadeq😂😂
Mungu mwema, na anajibu kwa wakati sahihi.Nimefanya interview kadhaa na chache nilizofika oral lakini Bado sijafanikiwa, hapo mwanzo nilikua napatwa na msongo wa mawazo sana ila baadae niliweza kupambana na hii Hali. Nikifeli naona Kuna kubwa zaid mbele yangu, naamini Kuna kubwa zaid nimepangiwa. Matokeo yakitoka hua nakua na furaha haijalish nimefeli na hua natumia muda mwingi kukaa na watu mfululizo mpak nasahau kuhusu Matokeo
😆😆😆 Habari ya Dodoma mkuu..Acha umavi pimbi wewe,wapi nimekuwa aggressive au hujui hata maana ya ulichokiandika?kusema maswali mnayouliza yanachekesha ndio kuwa aggressive?ningekua aggressive ningetoa my experience?
Sio lazima uniquote mimi,kuna watu wengi tu hapa jukwaani unaweza kudeal nao,sioni umuhimu wa wewe kila ninachokiandika ukifuatilie.
Naona kuna new generation imerithi uzi tayari wakati wakongwe wakizidi kukaa benchi.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
5 hpo ndio penyewe mkuuMkuu watu wanaochati sana humu ni ama Wana:-
1. Received
2. Wamekuwa shortlisted
3. Wamefanya written na wanasubiri matokeo.
4.Wamefaulu written wanasubiri oral ( Kwa hyo wanahitaji tips za ku pass oral)
5. Wamefanya oral na wanasubiri placement huku baadhi wakiwa na stutus tofauti(Na hapa mjadala Huwa ni Mpana sana).
Nje ya hapo wachangiaji ni wachache sana kwani uzi unakua hauwahusu. Ni sasa na wew unavyopita kwenye thread nyngine bila hata kufungua Sabu unaona Haina issue kwako.
Kweli kabisa maisha ni fumbo uwezi jua wapi utatobolea maisha kuna jamaa flani wakati naingia Veta kuanza mwaka wa kwanza 2020 ye alikuwa Umeme mwaka wapili kwa mujibu wake kaomba sana kazi bila mafanikio mwaka jana karamba asali kupitia umemeUkiachana na hizi kazi za utumishi jitaidi usiache Mambo mengine ya kujishughulisha. na hizi degree zetu zisitupe kiburi Cha kuamini sisi ni Bora kuliko wengine. Pia tujichanganye na vijana wenzetu huku elimu zetu zisiwe kiburi Cha kusema huezi fanya kazi Fulani. Bora ubaki kimya
nextweek naona kabisa mkeka wa UDSM🙂[emoji23][emoji23][emoji23] mwambie tunataka mkeka next wk jtano wa MB12 usaili wa December