Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naanza kuamini hawa wapuuz ndio wamesababisha uhaba wa ajira tangia awamu iliyopita , mfumo wa PSRS uliwabana kufanya upuuz wao ndio maana wakawa hawatoi vacancies mpya za kazi .
Haiwezekani miaka zaidi ya sita majitu yamejikausha tu leo hii yalivyosikia kuna uwezekano wa mfumo wa zamani kurudishwa ndio yanaibuka ovyo ovyo ,mara nafasi za kazi 400+ ,mara nafasi za kazi 300+ ,walikuwa wapi miaka yote hiyo vijana wanahangaika kitaa ajira hamna ?
 
Acha kabisa ni aibu sana
 
Inaonekana Kanzidata ya psrs bado ina watu kibao wanasubir nafasi. na ndo maana wengine tunapiga oral fresh tu ila majina hayatokei tunaona majina mapya tuuu...

Nadhani kuna umuhimu wa kuweka wazi haya mambo mfano..

1. Kanzidata ina watu wangapi wanaosubir nafasi (wajijue mapema kuliko kuandika Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kadambalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Yawezekana KANZIDATA ukawa ni mwavuli tu wa watu kupachika watu wao wenye sifa na vigezo stahiki. ambao hawakufuata mchakato mzima wa kuomba ajira

Nawaza tu.
PSRS Wanamkumbuka Mh.mhagama kauli yake kuwapangia watu database....Sasa hivi wanajuta bora tungefanya hvyo!!!!!
 
Dah noma sana inaonekana PSRS ni mwiba sana kwa watoto wa vigogo
Mkuu PSRS sio mchezo pale ogopa hao watoto wao na kiingereza chao Cha puani wanakandwa njoo Sasa wa Kwa wale wenye kiingereza Chenye lafudhi ya lugha mama wanatoboa😂😂😂 yaan unapigwa swali unajikuta unatumia lugha kaa tatu kujibu😂😂😂 sio mchezo Kwa Ile mikando pale
 
Kwenye Jopo la Oral interview psrs, anakuwepo member mmoja kutoka taasisi husika. Kwahiyo madai yao kuwa wanapelekewa watumishi wasio na vigezo ni uongo. Figisu tu
 
Kwenye Jopo la Oral interview psrs, anakuwepo member mmoja kutoka taasisi husika. Kwahiyo madai yao kuwa wanapelekewa watumishi wasio na vigezo ni uongo. Figisu tu
Mfumo wa psrs kuanzia mchakato wa kutuma maomi, kuita wasahiliwa kwenye usaihili mpaka kuitwa kazini, ndio unawachanganya kabsa awaelewi kipi ni kipi, ko ndo maana wanataka mchakato urudi kwenye taasisi ili wapenyeze watu wao.
 
Nimefanya Oral DUCE, panel ina watu watano
1. Mwenyekiti-HR duce
2. Msaidizi- HR duce
3. Katibu- Afisa kutoka Psrs
4. Mtaalamu wa fani husika
5. Mtaalamu wa fani husika
Pamoja na mapungufu madogo ila psrs 98% wako fair
 
.......Changamoto iliyopo psrs ni kuchelewa kutoa placement tofauti na hapo hawa jamaa wako vizuri sana.

Wako fair kwa asilimia 99.9%
 
Watu walishasemaga humu ndani kuwa kuna haki inatendeka karibia 90% haki inatendeka , watu wakaitwa mawakala, haya leo hii mnajionea hali huko kwenye taasisi na mashirika watu wanaambiwa watoe mpaka mil 5 na rushwa ya ngono juu ili wapate kazi, vigogo na mawziri wenu nao wamo, bado najiuliza swali ilikuwaje TRA wakimbilie kufanya recruitment chini yao ili hali kuna vijana wengi sana waliingia data base mwezi Februari mwaka huu, kwa nini wasingewapa nafasi hizo hao vijana ili wao wakaanza mchakato wa kuajiri wenyewe kwa wakati mwingine.
Tuliitwa mawakala humu na wengine wengi,lakini ni suala la muda mtakuja kuelewa,sisi wengine sio wanafiki jambo zuri tunasifia na kusema kweli.PSRS ndio chaguo au mwokozi wa vijana wengi.
Humu vijana wengi wamepata kazi na wanajua uzuri wa PSRS
 
Back
Top Bottom